Anatunyoosha sisi au Mungu?
Karibu sanaTunakuja mkuu
Ahsante sana mkuuKaribu sana
Acha ushamba njoo tumwombe MunguWatanzanzia wakibeza wewe unapungukiwa nini? Ukiitwa mpumbavu utakasirika?
AminaaaMungu akubariki sana endelea kubarikiwa
AahaaaaNa sie tumeenda kwenye madhabahu zetu huku matombo,, msitupigie kelele
Kweli kabisa ni hivyoNipo hapa Kawe
Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,
Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Uko sahihi Mkuu yaani hawa Mademu kutoka Mikoani wangenitambua na wote wangerudi huko wakiwa Wamefukuliwa.