KAWE: Huenda huu mkesha wa ijumaa kwa Mwamposa ukawa ndio mkesha mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania

KAWE: Huenda huu mkesha wa ijumaa kwa Mwamposa ukawa ndio mkesha mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania

Watanzanzia wakibeza wewe unapungukiwa nini? Ukiitwa mpumbavu utakasirika?
 
Kwamba Mungu anafanya kazi kwa advertisement and promotion?
 
Nipo hapa Kawe

Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,

Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Kweli kabisa ni hivyo
 
Back
Top Bottom