KAWE: Huenda huu mkesha wa ijumaa kwa Mwamposa ukawa ndio mkesha mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania

KAWE: Huenda huu mkesha wa ijumaa kwa Mwamposa ukawa ndio mkesha mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania

Nipo hapa Kawe

Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,

Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Hehe.. mkuu usiteseke!

Unajua kwanini Wayahudi OG hawana muda na Yesu ambaye wayahudi feki wa kila Kona wanamfia?

Ndiyo hizo hizo sababu zinazopelekea wabongo wengi kumchukulia nabii wenu Mwamposa poa tu.

NB: Ukristu na uislamu ni utumwa wa kiutamaduni na kijamii.
 
Back
Top Bottom