Uchaguzi 2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

Tapeli hawezi kupeleka maendeleo Kawe, na zaidi Kawe inastahili heshima, haiwezi kuongozwa na mcheza movie za ajabu ajabu.
Zaidi, kwa mujibu wa katiba ya nchi, Mbunge kupeleka wanajimbo nje ya nchi haitambuliki na haina tija.
 
Hiyo haihusiani hapa tunazungumzia Kawe we kima
 
Umesoma Ilani yake kweli wewe amesema ametekeleza vyote alivyoahdi nakutoa namna pesa alivyotumika sasa hapa nan muongo
 
Wanaojua Visiting day na fence za Kilakala Sec na pale Hostel za Forest Hill kwa Patel na Mr Dogo Enzi hizo watajua namaanisha nini.. #10 INATOSHA#
 
Umesoma Ilani yake kweli wewe amesema ametekeleza vyote alivyoahdi nakutoa namna pesa alivyotumika sasa hapa nan muongo

..maana yake Mh.HALIMA kama mbunge ametekeleza wajibu wake wa kuelekeza na kubainisha fedha za mfuko wa jimbo zielekezwe wapi.

..lakini fedha hizo ni za SERIKALI na hazipitii ktk mikono ya mbunge, bali zinapokelewa na kutunzwa na MKURUGENZI WA HALMASHAURI.
 
Maendeleo ya Kawe yataletwa na Gwajima tu hakuna mwingine.
 
nasema wazi kabisa huyu dada alishindwa kabisa kabisa total failure.
 
kawe inahitaji maendeleo sio heshima pathetic banner
 
Lakin amejinadi na kujisifia kuwa n yeye amefanya ila anadeni la laki 6 zipo kwake na hazionyeshi amefanyia nin
 
V Hivi buzi lake ni nani? Maana naona umli unaondoka hivyo.
 
Lakin amejinadi na kujisifia kuwa n yeye amefanya ila anadeni la laki 6 zipo kwake na hazionyeshi amefanyia ninView attachment 1594112

..fedha zinatunzwa na ofisi ya mkurugenzi ambaye ni mwana-ccm mwenzenu.

..sasa mnatakiwa mkamhoji kama fedha hizo bado zipo, au amezifisadi.

..Halima ametenda kwasababu bila mbunge na madiwani kuamua fedha za mfuko wa jimbo haziwezi kutolewa.

..Mnyonge mnyongeni HAKI yake mpeni.
 
Nondo mla Watu ,

..Askofu Gwajima aliahidi kumfufua Amina Chifupa.

..Pia aliahidi kununua treni.

..Je, ametekeleza ahadi hizo?
 
haiwezekan kutoka huku kwa Londa mpaka kanisani vumbi tupu hakuna Lami.
hapana kabisa mabesi
 
Ni wazi kuwa yule mama hawezi kutuwakilisha wanakawe tuwe wakweli maana kila nilpokuwa nikifuatilia bunge yeye n kesi tu hata juzi kesi yake imehairishwa sasa mtu kama huyo anatusaidia nin sisi Zaid ya matatizo yake
 
..wanaomzuia asiwawakilishe ni serikali ya ccm na vyombo vyake kama polisi na mahakama.

..msiichague ccm kwani imemhujumu mbunge wenu, na imehujumu maendeleo yenu.
 
..wanaomzuia asiwawakilishe ni serikali ya ccm na vyombo vyake kama polisi na mahakama.

..msiichague ccm kwani imemhujumu mbunge wenu, na imehujumu maendeleo yenu.
Basi tutamchagua huyo ambaye hawez kuzuiliwa na CCM Gwajima
 
Una maana akaandamane na atiwe ndani?
Hatujaona hiyo kazi ya Mdee zaidi ya kuongea na sauti off matusi matusi na kuishia jela.

Mdee hata hapa kazi tu yenyewe haijui!
Ulitaka akupe papa ndiyo ukubali kuwa anapiga kazi?

Mdee hakusanyi kodi, wala siyo kazi yake ni kusema siyo kuleta Maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…