Uchaguzi 2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

Empty set
 
Kama unataka kujua ccm imefeli nenda katazame barabara ya makongo! Watu wanaisi kama fuko kwa ajili ya vumbi! Kodi za watu wale zinakwenda wapi!! Kwenye ndege??
 
Serikali ilete maendeleo siyo mbunge analeta. Tuma haki maendeleo yaletwe na serikali imayokusanya kodi zetu!
 
Ni Halima tu hakuna mwingine! Wabunge hawana lao kwa awamu hii! Wacha Halima atetee maswala ya taifa letu na ya wanawake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…