Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Vikao vya maamuzi vya CCM, vimefanya na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na amepatikana, ni Mchungaji/Askofu Dr. Josephat Gwajima, he is the best of the best!.
Sasa sisi wagombea wengine 175 tuliochinjwa sasa ndio tuwe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe lirejee nyumbani CCM.

Pamoja we can.
P
 
hahahah aisee kama Gwajima the Porn Star ndiyo bora kuliko nyie wote 175 huko CCM mliopambana naye Kawe basi ni wazi chama chenu kimejaa mazwazwa.
 
Hahahaha, anko nategemea ,kuona thread zako za kumpigia debe mgombea wa kawe Mh Gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, anko nategemea ,kuona thread zako za kumpigia debe mgombea wa kawe Mh Gwajima
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Hahahaha ,inapendeza sana kusikia nasubiri Kuona aina ya kampeni utakayotumia ktk kumpenia Gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha ,inapendeza sana kusikia nasubiri Kuona aina ya kampeni utakayotumia ktk kumpenia Gwajima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile Gwajima ni homeboy, na sisi kwa kabila yetu, sio heshima kwa mwanaume kugombea kitu na mwanamke!, kama kuna mwanamke ana kitu unakihitaji na hana kizingiti, kikawaida huwa unakichukua tuu huna haja ya kuomba. Hivyo sio heshima Gwajima kugombea kitu na huyo binti wa Kawe, na kwa vile hana kizingiti, tutachofanya ni kupeleka tuu posa na kuumaliza mchezo!, na ikitokea posa ikakataliwa, tutatumia mbinu za Chagulaga!.
P
 
Ni tamaa tu hamna lolote kutoridhika na ulicho nacho.....jimbo limevamiwa na wengi hadi wachunga kondoo wa bwana !! Bibilia chini sasa ni siasa mbele...wengine hatukujua kumbe wachunga kondoo nao walikuwa wazee wa kusifu na kuabudu kimya kimya.
... teh teh 🤣 🤣🤣 🤣 kila laheri Askofu Gwajima na wagombea wengine wote.
 
Ukiendelea na kasi hii, basi cheo cha uteuzi utakipata mapema sana na kuanzia sasa anza kujiona kama DAS,RAS,DC au RC wa eneo fulani.

Ikiwezekana anza kuishi maisha kama ya mkurugenzi, katibu mkuu au mkuu wa kitengo fulani nyeti.

Fanya haya utakuja kunishukuru baadae.
 
Unless otherwise hautakaa uombe tena uongozi maishani mwako kuna kauli mwanasiasa / mwanadiplomasia hatakiwi kuzitoa hata kwa utani... utauliza kwanini (Kauli can always come back and bite your backside) kwa ushauri futa tu hii kauli na ukitaka mimi hii pia tafuta tuondoe ushahidi wa kuteleza kikauli...
 
Mkuu Keyser Soze, kuna kauli mbaya gani nimeitoa itakayopelekea mimi nisiombe tena uongozi?.
P
 
Mkuu Baba Jay Rose, kuwafedhehesha kivipi?.
P
Wewe sio mtu wakurudia matapishi yako, wewe sio wa kucheza dirty game za siasa za Tz... Kitu ambacho hujui reputation yako tulikua tunaitumia kuwa inspire wadogo zetu wanaotaka kuingia kwenye habari.... Now sijui tutaweka wapi sura zetu kwa wadogo zetu !!!
Tunaskitika saana.
 
Kosa langu ni nini au ni lipi?.
Nimerudia kula matapishi yangu yapi?.
Dirty games gani mimi nime play?.
P
 
Nzuri.
 
Kosa langu ni nini au ni lipi?.
Nimerudia kula matapishi yangu yapi?.
Dirty games gani mimi nime play?.
P
Zile article zako za kuikosoa serikali na CCM mpaka ukaitwa bungeni umesahau uncle??

Unafikiri uccm wako utafanya uchambuzi usio na upendeleo??
Unadhani unaweza kukosoa na kukemea mabaya yanayofanywa na Mfumo uliondani yake??
Uncle anyway unaweza kua mtu wa kitengo pengine mambo yamekua magumu imebidi mjitokeze muokoe jahazi kwa namna hii kinyume na hapo Tz yetu NI haitoweza pata maendelea kwa namna hii.

#sio lazima wote tuwe wanasiasa nchi haijegwi upande mmoja(siasa) uzalendo ni kutumika vizuri kwenye taaluma yako!
 
Aibu sana hii unayofanya Mr. Njaa my clan mate! Hii siyo sawa kabisa huwezi kutweza utu wako namna hii kisa unatafuta uteyuzi! Infwakti Magufuli na hao watu wake wamekwisalegea kazi iliyobakia kwetu ni kuchinja tu bila kujali kuangalia Kibra au wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…