Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mfano umeona hivi majuzi Dodoma. Nec ilipiga kura kwa uwazi na ikarushwa live na Tv stations zote kubwa hapa nchini.Magufuli sio mtu wa kujali uwazi na ukweli. Na hatakaa ajali hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano umeona hivi majuzi Dodoma. Nec ilipiga kura kwa uwazi na ikarushwa live na Tv stations zote kubwa hapa nchini.Magufuli sio mtu wa kujali uwazi na ukweli. Na hatakaa ajali hayo.
Gwajima huyuhuyu ambae mambo madogo yanamshinda hata kauli zake ni kinzani au yule mwingine?
Naona unampigia kampeni yusuph mwendaSawa kabisa na mbunge hapo atakayepitia ni Yusuph Mwenda yule diwani wa zamani wa mikocheni na aliyekua meya wa kinondoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Atashinda Halima period!Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!
My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie.
CCM Oye!
Paskali
Hahahaha, nawaonega makatibu kata karibu wote ,wanaenda kwa jamaaNaona unampigia kampeni yusuph mwenda
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Wanabodi, hii ngoma ya kunani Kawe, inaanza kurindima asubuhi hii, mimi nitakuwepo kuwaripotia live kutokea ukumbini.Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!
My Take
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie.
CCM Oye!
Paskali
Wagombea wanavyokuwa wengi ndo hata kushinda kuna kuwa raisi. Yaani ni technic ndogo tu.Wanabodi,

Mkuu nasikia Upo ktk kinyang'iroWanabodi, hii ngoma ya kunani Kawe, inaanza kurindima asubuhi hii, mimi nitakuwepo kuwaripotia live kutokea ukumbini.
Stay Tuned.
P
Kweli nipo, kura zimeanza kuhesabiwa, mimi nina kura 0!.Mkuu nasikia Upo ktk kinyang'iro
Kila la kheri
Usha feli tayariWanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!
My Take
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie.
CCM Oye!
Paskali
Duh ktk tafiti zangu kata zote kumi ,jina lako sikulisikia kabisa lkn hapo mshindi naona Mh Meya wa zamani wa kinondoni anachukuaKweli nipo, kura zimeanza kuhesabiwa, mimi nina kura 0!.
P
Naona bwana mdogo David Kayuni jirani yako anakupiga overtake unafeli mwandishi nguli.Kweli nipo, kura zimeanza kuhesabiwa, mimi nina kura 0!.
P
Hongera sana Paskali. Umejaribu.Wanabodi, hii ngoma ya kunani Kawe, inaanza kurindima asubuhi hii, mimi nitakuwepo kuwaripotia live kutokea ukumbini.
Stay Tuned.
P