Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeongea pointi kabisawingi wa watia nia ni fursa kwa chama kupata mgombea atayeuzika kwa wananchi na hatimaye ushindi kupatikana.
Ana replace nafasi ya mama GR R.I.PHuyu sidhani ila atatumika km mpiga debe nchi nzima kisha anaukwaa ubunge wa jimbo la ikulu
Kawe atapita Yusuph Mwenda kwa ccm
Gwajima na wengine watapiga kampeni
Sawa kabisa na mbunge hapo atakayepitia ni Yusuph Mwenda yule diwani wa zamani wa mikocheni na aliyekua meya wa kinondoniAna replace nafasi ya mama GR R.I.P
Sawa kabisa na mbunge hapo atakayepitia ni Yusuph Mwenda yule diwani wa zamani wa mikocheni na aliyekua meya wa kinondoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kawe nani ameshaagiza atangazwe? Kama una ushahidi tuwekee please maana unaonesha unafahamu wote ambao Magufuli ameagiza watangazwe. Tutajie tu wa hapo kawe ili ikitokea akatangazwa tujue ni kweli.Kungekuwa na uchaguzi hapo sawa, ila sio kwa huu uchaguzi ambao tayari Magufuli kashaagiza nani atangazwe mshindi.
GT unawaza utupu ktk fikra hai!? Duh ndiyo maana waafrika hatujijuiPascal Mayalla Kawe unafahamu kuna wasomi wanaoshawishika kwa hoja bila kujali vyama.
Huko kwingine kama Temeke, Ilala, Kigamboni tatizo si wapiga kura, ili uwe mpigiwa lazima upite mchujo wa hirizi halafu wa chama ndipo ugombee. Ushanfahamu! huendi tu kuchukua fomu!
Hapo kawe nani ameshaagiza atangazwe? Kama una ushahidi tuwekee please maana unaonesha unafahamu wote ambao Magufuli ameagiza watangazwe. Tutajie tu wa hapo kawe ili ikitokea akatangazwa tujue ni kweli.
Uchaguzi 2020 - Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMAWanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.
My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie...
CCM Oye!
Paskali
Sasa nini maana ya kusema Magufuli ameagiza watangazwe?Sijui atakayetangazwa, lakini atakayetangazwa ni yule atayebeba na kuunga mkono Magufuli kuongezewa muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
Wote wachumba. Yani kati ya hao wote mwenye walau jina kidogo ni Gwajima! Hao wengine wengi wao ni wasanii na watu wa kawaida.Pasco tumekee hapa list ndo tutajua atakuwa nani.
Sasa nini maana ya kusema Magufuli ameagiza watangazwe?Sijui atakayetangazwa, lakini atakayetangazwa ni yule atayebeba na kuunga mkono Magufuli kuongezewa muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
GT unawaza utupu ktk fikra hai!? Duh ndiyo maana waafrika hatujijui
Majimbo isipokuwa ubungo kawe na kibamba si wenyeji kama hayo mengine
Hata ukonga wengi ni wenyeji wa kabila au ukanda ndiyo maana si kwa wote na segerea ni nusu kwa nusu wenyeji na wagen
Majimbo haya matatu hata kama umetoka ulaya leo unagombea kwa kuwa hawaangalii mtu bali hoja shawishi
Kumbe mtaji wa maskini si nguvu ni akili yake nzuri na timamu
Pascal Nadhani Halima keshashinda, njia ya kulikomboa ni kucheza na kura. Yale ya 2010 na 2015 (Angeja na kippi) pamoja nao ni kati ya 176.Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.
My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie...
CCM Oye!
Paskali
Vichwa vyenu havina second thoughtSasa hapo ndiyo umeandika nini?
Umemuunga mkono alichoandika au umepingana naye?
Maana umeanza kwa kumtoa maana halafu umemalizia kwa kuandika kile alichoandika yeye!
Sasa wewe umebaki kushangaza watu!
Ungeandika kuwa kwa kuongezea siyo jimbo la Kawe tu bali pamoja na huko segerea n.k ingekaa kwa mtitiriko lakini kuanza kumwambia anawaza utupu sijui hivi na vile ndiyo unaona hoja yako itakuwa nzito au?!
So far alichoandika mwenzio ndiyo ukweli huko unakotaja segerea sijui wapi na wapi hao wanarubunika kirahisi huo ndiyo ukweli ambao pengine kwako mchungu!
Angalia hata aina ya wabunge walionao kwa sasa ambao muda umepita ndipo utajua ukweli ulivyo.
Mbunge kwa miaka 5 hajawahi wasilisha hoja ya ku draw attention hata siku moja ?!
Mbunge wa hewala hewala tu !
Tafakari kwa kina!