Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Kawe atapita Yusuph Mwenda kwa ccm

Gwajima na wengine watapiga kampeni


Huyo alipokuwa Meya alifanya yepi yakuweza kushawishi watu wampe kura?

Anatakiwa mtu wa misimamo na mfutiliaji king’ang’anizi wa mambo ktk kufuatilia na kushirikiana na serikali ili kuondoa matatizo sugu kama vile migogoro ya ardhi , ukosefu wa huduma za maji n.k na kuleta maendeleo.

Na walau Gwajima ukimuangalia hata kwa mbali anaonekana kuwa mtu wa kaliba hiyo ya ung’ang’anizi wa jambo hadi litokee au lifanyike.

Hatutaki mbunge gentleman ambae anajiweka kwenye ustaarabu tuuuuuu na kusaini Posho tu wa hivyo hapana.

Gwajima anatosha kwa Kawe.
 
Sawa kabisa na mbunge hapo atakayepitia ni Yusuph Mwenda yule diwani wa zamani wa mikocheni na aliyekua meya wa kinondoni

Sent using Jamii Forums mobile app


Huyu sizani kama anaweza kuwa king’ang’anizi katika kufuatilia mambo ili yafanyike jimboni kwake!

Huyu Ndiyo wale wanaobaki kujiweka kwenye ustaarabu tu usio na faida kwa wananchi [emoji108][emoji108]

Tunataka mtu king’ang’anizi ambaye ustaarabu anaweka pembeni wakati wa kazi .

Tunataka mtu asiyemuoga ikibidi hata kwenda kukabiliana na viongozi wakuu wa nchi juu ili kuhakikisha anapata ufumbuzi wa mambo yanayowakabili wananchi wake bila kujifanya mstaarabu machoni pa watu.

Gwajima anaweza hayo!
 
Kungekuwa na uchaguzi hapo sawa, ila sio kwa huu uchaguzi ambao tayari Magufuli kashaagiza nani atangazwe mshindi.
Hapo kawe nani ameshaagiza atangazwe? Kama una ushahidi tuwekee please maana unaonesha unafahamu wote ambao Magufuli ameagiza watangazwe. Tutajie tu wa hapo kawe ili ikitokea akatangazwa tujue ni kweli.
 
GT unawaza utupu ktk fikra hai!? Duh ndiyo maana waafrika hatujijui
Majimbo isipokuwa ubungo kawe na kibamba si wenyeji kama hayo mengine
Hata ukonga wengi ni wenyeji wa kabila au ukanda ndiyo maana si kwa wote na segerea ni nusu kwa nusu wenyeji na wagen
Majimbo haya matatu hata kama umetoka ulaya leo unagombea kwa kuwa hawaangalii mtu bali hoja shawishi

Kumbe mtaji wa maskini si nguvu ni akili yake nzuri na timamu
 
Hapo kawe nani ameshaagiza atangazwe? Kama una ushahidi tuwekee please maana unaonesha unafahamu wote ambao Magufuli ameagiza watangazwe. Tutajie tu wa hapo kawe ili ikitokea akatangazwa tujue ni kweli.

Sijui atakayetangazwa, lakini atakayetangazwa ni yule atayebeba na kuunga mkono Magufuli kuongezewa muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
 
Uchaguzi 2020 - Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMA
 


Sasa hapo ndiyo umeandika nini?

Umemuunga mkono alichoandika au umepingana naye?

Maana umeanza kwa kumtoa maana halafu umemalizia kwa kuandika kile alichoandika yeye!

Sasa wewe umebaki kushangaza watu!

Ungeandika kuwa kwa kuongezea siyo jimbo la Kawe tu bali pamoja na huko segerea n.k ingekaa kwa mtitiriko lakini kuanza kumwambia anawaza utupu sijui hivi na vile ndiyo unaona hoja yako itakuwa nzito au?!

So far alichoandika mwenzio ndiyo ukweli huko unakotaja segerea sijui wapi na wapi hao wanarubunika kirahisi huo ndiyo ukweli ambao pengine kwako mchungu!

Angalia hata aina ya wabunge walionao kwa sasa ambao muda umepita ndipo utajua ukweli ulivyo.

Mbunge kwa miaka 5 hajawahi wasilisha hoja ya ku draw attention hata siku moja ?!

Mbunge wa hewala hewala tu !

Tafakari kwa kina!
 
Pascal Nadhani Halima keshashinda, njia ya kulikomboa ni kucheza na kura. Yale ya 2010 na 2015 (Angeja na kippi) pamoja nao ni kati ya 176.
 
'Fikra tupu'. Unaelewa n nini!

Segerea nisome vizur

Vichwa vyenu havina second thought
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…