Tetesi: Kawe nasikia kuna panya road wamekiamsha mida ya saa moja

Habari nataka kupita kawe naskia kuna panya wameliamsha dude eti wamefunga road ni kweLi maana kila naempgia simu wa maeneo hayo hawanipokelei simu na mm nataka nipite ukwamani vipi kuna anaejua tukio hili wazee
Tulieni dawa iwaingie ,Mtaji WA masikini ni nguvu zake , kila mkiambiwa muiwajibishe serikali yenu ya kijinga itengeneze uchumi unaogusa maisha ya watu masikini na wasio na ajira Kwa kuzalisha ajira huwa mnakejeli , sasa ngoja wajasiriamali wajiajiri Kwa kuwapiga nondo na kuwabaka ndio akili zitawakaa vizuri na kuacha ubinafsi WA kishamba.
 
wewe unachoogopa nini ?
 
Usiwaogope hao, ila ukiskia kuna telezaa vaa chupi la chuma
 
Hao panya wapo rumande usiogope.
 
Daa!!!nimesikitika sana!!!yaani kusikia tuu mtu anatka kubadili njia?
 
Tulieni dawa iwaingie ,Mtaji WA masikini ni nguvu zake , kila mkiambiwa muiwajibishe serikali yenu ya kijinga itengeneze uchumi unaogusa maisha ya watu masikini na wasio na ajira Kwa kuzalisha ajira huwa mnakejeli , sasa ngoja wajasiriamali wajiajiri Kwa kuwapiga nondo na kuwabaka ndio akili zitawakaa vizuri na kuacha ubinafsi WA kishamba.
Ni kweli kuna lawama upande wa Serikali, ila tabia ya watu kuzaa kienyeji bila kujua utawaendeleza vipi watoto wake ndio tatizo kubwa zaidi.
 
Hakuna kitu kama hicho
Uivamie kawe hujipendi
Ngoja nimtag GENTAMYCINE
Hiyo mitaa anaijua vizuri ngoja
Aje awape majibu

Ova
 
Tulieni dawa iwaingie ,Mtaji WA masikini ni nguvu zake , kila mkiambiwa muiwajibishe serikali yenu ya kijinga itengeneze uchumi unaogusa maisha ya watu masikini na wasio na ajira Kwa kuzalisha ajira huwa mnakejeli , sasa ngoja wajasiriamali wajiajiri Kwa kuwapiga nondo na kuwabaka ndio akili zitawakaa vizuri na kuacha ubinafsi WA kishamba.
Tuiwajibishaje Serikali jomba..fafanua
 
Ni kweli kuna lawama upande wa Serikali, ila tabia ya watu kuzaa kienyeji bila kujua utawaendeleza vipi watoto wake ndio tatizo kubwa zaidi.
Si juzi juzi raia walikuwa wanaambiwa na serikali wazae kwa wingi? Hukusikia ile kauli ya kusema fyatueni watoto kwa wingi?
 
Daa!!!nimesikitika sana!!!yaani kusikia tuu mtu anatka kubadili njia?
Hahahaaahh noma sana 😁 nimesikia pia kuwa n kikundi cha ni masela waliotoka kumzika mwenzao chanzo cha kifo chake sijui,sasa walipokuwa wanarudi kikundi ndipo raia walidhani NI panya road wakaanza kufunga maduka😁 wengine kujifungia ndani,
Simu zinapigwa hadi kituo cha polisi,polisi wakaja na full wamejikoki,
Chakushangaza hao wanaohisiwa ni panya road walikuwa hawana hata silaha ya aina yoyote
Ndipo ikajulikana ni masela wametoka kumzika mwenzao kwa hyo tetesi za kuwa ni panya road sio za kweli ni uoga wao tuu😁
 
Hahahaaahh noma sana [emoji16] nimesikia pia kuwa n kikundi cha ni masela waliotoka kumzika mwenzao chanzo cha kifo chake sijui,sasa walipokuwa wanarudi kikundi ndipo raia walidhani NI panya road wakaanza kufunga maduka[emoji16] wengine kujifungia ndani,
Simu zinapigwa hadi kituo cha polisi,polisi wakaja na full wamejikoki,
Chakushangaza hao wanaohisiwa ni panya road walikuwa hawana hata silaha ya aina yoyote
Ndipo ikajulikana ni masela wametoka kumzika mwenzao kwa hyo tetesi za kuwa ni panya road sio za kweli ni uoga wao tuu[emoji16]
Daah Wanaume wa dar wamezidi uoga
 
Habari nataka kupita kawe naskia kuna panya wameliamsha dude eti wamefunga road ni kweLi maana kila naempgia simu wa maeneo hayo hawanipokelei simu na mm nataka nipite ukwamani vipi kuna anaejua tukio hili wazee
Mliwafukuza machainga na mkaamua kuwapeleka jalalani mfano wale wa Mwanza,hamna biashara kwa nini wasitumie nguvu zao kutafuta pesa!
 
Back
Top Bottom