fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Tulieni dawa iwaingie ,Mtaji WA masikini ni nguvu zake , kila mkiambiwa muiwajibishe serikali yenu ya kijinga itengeneze uchumi unaogusa maisha ya watu masikini na wasio na ajira Kwa kuzalisha ajira huwa mnakejeli , sasa ngoja wajasiriamali wajiajiri Kwa kuwapiga nondo na kuwabaka ndio akili zitawakaa vizuri na kuacha ubinafsi WA kishamba.Habari nataka kupita kawe naskia kuna panya wameliamsha dude eti wamefunga road ni kweLi maana kila naempgia simu wa maeneo hayo hawanipokelei simu na mm nataka nipite ukwamani vipi kuna anaejua tukio hili wazee
Ni kweli kuna lawama upande wa Serikali, ila tabia ya watu kuzaa kienyeji bila kujua utawaendeleza vipi watoto wake ndio tatizo kubwa zaidi.Tulieni dawa iwaingie ,Mtaji WA masikini ni nguvu zake , kila mkiambiwa muiwajibishe serikali yenu ya kijinga itengeneze uchumi unaogusa maisha ya watu masikini na wasio na ajira Kwa kuzalisha ajira huwa mnakejeli , sasa ngoja wajasiriamali wajiajiri Kwa kuwapiga nondo na kuwabaka ndio akili zitawakaa vizuri na kuacha ubinafsi WA kishamba.
🤣🤣🤣🤣🤣Ndo wanaume wa dar hao mkuuDaa!!!nimesikitika sana!!!yaani kusikia tuu mtu anatka kubadili njia?
Tuiwajibishaje Serikali jomba..fafanuaTulieni dawa iwaingie ,Mtaji WA masikini ni nguvu zake , kila mkiambiwa muiwajibishe serikali yenu ya kijinga itengeneze uchumi unaogusa maisha ya watu masikini na wasio na ajira Kwa kuzalisha ajira huwa mnakejeli , sasa ngoja wajasiriamali wajiajiri Kwa kuwapiga nondo na kuwabaka ndio akili zitawakaa vizuri na kuacha ubinafsi WA kishamba.
Si juzi juzi raia walikuwa wanaambiwa na serikali wazae kwa wingi? Hukusikia ile kauli ya kusema fyatueni watoto kwa wingi?Ni kweli kuna lawama upande wa Serikali, ila tabia ya watu kuzaa kienyeji bila kujua utawaendeleza vipi watoto wake ndio tatizo kubwa zaidi.
Hahahaaahh noma sana 😁 nimesikia pia kuwa n kikundi cha ni masela waliotoka kumzika mwenzao chanzo cha kifo chake sijui,sasa walipokuwa wanarudi kikundi ndipo raia walidhani NI panya road wakaanza kufunga maduka😁 wengine kujifungia ndani,Daa!!!nimesikitika sana!!!yaani kusikia tuu mtu anatka kubadili njia?
Aliyezaliwa kipindi hicho hajawa ma miaka mitatu badoSi juzi juzi raia walikuwa wanaambiwa na serikali wazae kwa wingi? Hukusikia ile kauli ya kusema fyatueni watoto kwa wingi?
Daah Wanaume wa dar wamezidi uogaHahahaaahh noma sana [emoji16] nimesikia pia kuwa n kikundi cha ni masela waliotoka kumzika mwenzao chanzo cha kifo chake sijui,sasa walipokuwa wanarudi kikundi ndipo raia walidhani NI panya road wakaanza kufunga maduka[emoji16] wengine kujifungia ndani,
Simu zinapigwa hadi kituo cha polisi,polisi wakaja na full wamejikoki,
Chakushangaza hao wanaohisiwa ni panya road walikuwa hawana hata silaha ya aina yoyote
Ndipo ikajulikana ni masela wametoka kumzika mwenzao kwa hyo tetesi za kuwa ni panya road sio za kweli ni uoga wao tuu[emoji16]
Mkuu Inaonekana ulikimbia manzese kitambo sana.Daah Wanaume wa dar wamezidi uoga
Mliwafukuza machainga na mkaamua kuwapeleka jalalani mfano wale wa Mwanza,hamna biashara kwa nini wasitumie nguvu zao kutafuta pesa!Habari nataka kupita kawe naskia kuna panya wameliamsha dude eti wamefunga road ni kweLi maana kila naempgia simu wa maeneo hayo hawanipokelei simu na mm nataka nipite ukwamani vipi kuna anaejua tukio hili wazee