Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao marefa Wana familia zao, wanachezesha bila kulipwa pesa na bodi ya ligi.Hata mtu asiyye na taaluma ya uwamuzi wa mpira anajua kuwa Kayoko ameishindwa kwa makusudi mechi ya Polisi vs Yanga. Ispite hivihivi bila adhabu.
Nakuunga mkono kwamba MAAGIZO YA MSOMALI YAHESHIMIWE!Maagizo ya karia yaheshimiwe
Yanga wameshindwa kwa kuwa ni Timu kubwa ina kikosi kpana na quality plyers Ila kwa uchezeshaji ule wa Kayoko alikuwa anaelekea kuighaliu Timu bila sababu za Msingi..Yanga kwa kulalamika just imagine hapo wameshinda wakufungwa sijui ingekuwaje yaani yule nguruwe pori kashawaaminisha kwamba karia anawaonea ni adui yao.
Yanga mechi zote tunashinda kwa tabu sana...yaani waamuzi hawapendi tushinde hata tukishinda zisiwe goli nyingiYanag wameshindwa kwa kuwa ni Timu kubwa Ina kikosi kpana na quality plyers Ila kwa uchezeshaji ule wa Kayoko alikuwa anaelekea kuighaliu Timu bila sababu za Msingi..
Kayoko ni Kocha mzuri Ila kwa Ile mechi alikuwa leakage
We jamaa kichaa sio bureCheupe dawa ana haki ya kusema wenye akili umavini ni mzee JK na Sunday tu maana sio kwa upuuzi huu!!
Utopolo ni Vinyesi kweli kweli. Mlipewa hadi Penati yule kuku wenu wa Mdondo anayetetemeka akakosa, mlitaka Kayoko awabebe kwa mbeleko ipi????Kakaa kileleni kwa pira fuluvulu na kubebwa mabegani. Hivi umeona mpira gani pale?
Kweli kabisa kama alivyomruhusu kipa adake penalt ya Mayele.... na alipokataa kuruhusu goli mpira ulipogonga mwamba na kurudi uwanjani.... Yaani kayoko afungiwe kabisa maana aliwaambia wachezaji wa Yanga goli 2 ni nyingi sana wapige pasi nyingi na wasiende kufunga...Hata mtu asiyye na taaluma ya uwamuzi wa mpira anajua kuwa Kayoko ameishindwa kwa makusudi mechi ya Polisi vs Yanga. Ispite hivihivi bila adhabu.
Uyo kuku tarehe 13 aliwabandua vigoli viwili mpaka mkaenda kujipepea na feni siku nzimaUtopolo ni Vinyesi kweli kweli. Mlipewa hadi Penati yule kuku wenu wa Mdondo anayetetemeka akakosa, mlitaka Kayoko awabebe kwa mbeleko ipi????
Mechi na Geita Gold ilisababisha Hinonga asipewe kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya sana sure boy. Au hujui!!!!Kweli kabisa kama alivyomruhusu kipa adake penalt ya Mayele.... na alipokataa kuruhusu goli mpira ulipogonga mwamba na kurudi uwanjani.... Yaani kayoko afungiwe kabisa maana aliwaambia wachezaji wa Yanga goli 2 ni nyingi sana wapige pasi nyingi na wasiende kufunga...