Kayoko afungiwe kuchezesha mechi kadhaa

Kayoko afungiwe kuchezesha mechi kadhaa

Yanga wameshindwa kwa kuwa ni Timu kubwa ina kikosi kpana na quality plyers Ila kwa uchezeshaji ule wa Kayoko alikuwa anaelekea kuighaliu Timu bila sababu za Msingi..

Kayoko ni Kocha mzuri Ila kwa Ile mechi alikuwa leakage
Kayoko kocha wa timu gani?
 
Kayoko alikataa goli la wazi kabisa ,shoulder to shoulder anapuliza filimbi na kutoa kadi
 
Mimi naona tuziache timu zote zishinde na kushindwa kwa uwezo wake zenyewe, hapo ndipo tutakapopata timu za kweli za kutuwakilisha kwenye mashindano ya caf, kuzipendelea timu ni kujidanganya wenyewe, yaani kujitekenya na kucheka. Hii itatupunguzia hamu ya kutaka kuwasha moto na kuwasha vitochi kumulika wachezaji viwanjani kwenye mashindano ya caf.
 
Maagizo ya Msomali bado yanaendelea
Sare ya Simba na hata kufungwa haiko mbali sana. Jana coastal yake imefungwa pia baada ya Simba yake kufungwa na Yanga pia. Simba inashinda lakini kwa wanaojua mpira unaona Simba inashinda kwa taabu sana.
 
Tumewekeza kwa Marefa na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani ndio maana tunashinda vile, ndio tabia tuliyojijengea kwenye timu yetu.

Utopolo hawana kelele ila wangekuwa na makelele kama sisi ungewasikia wanasema kipa wa Kagera Sugar achunguzwe amepokea mlungula kutoka kwetu Simba!
 
Uyo kuku tarehe 13 aliwabandua vigoli viwili mpaka mkaenda kujipepea na feni siku nzima
Te
Tumewekeza kwa Marefa na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani ndio maana tunashinda vile, ndio tabia tuliyojijengea kwenye timu yetu.

Utopolo hawana kelele ila wangekuwa na makelele kama sisi ungewasikia wanasema kipa wa Kagera Sugar achunguzwe amepokea mlungula kutoka kwetu Simba!
kununua marefa na wachezaji, kuwasha moto uwanjani na kumulika vitochi machoni wachezaji hakuleta kikombe cha caf Tanzania. Tuwekeze kwenye wachezaji wenye viwango, tuwalipe vizuri wachezaji na benchi la ufundi lazima tutapata matokeo safi tu. Yanga imeshaianza safari hiyo ngumu. Hebu ona rafu zinazofanywa na Inonga na kanoute bila kupatiwa maamuzi ya hakhi kutatufikisha wapi? Iko siku rafu hizi za hawa vijana zitakuja igharimu timu yao huko mbele ya safari, niamini mimi. Sasa hivi mmnajipa ile kitu inaitwa false hope na false positive results
 
... kwa wanaojua mpira unaona Simba inashinda kwa taabu sana.
ni kweli, katika mechi mbili, Simba amepata mabao matano kwa taabu sana na Yanga amepata mabao manne kilaini sana
 
tofautisha magoli 4 ya ugenini na magoli 5 ya uwanja mzuri wa nyumbani na kubebwa juu. Mimi nakwambia sare ya kwanza ya simba iko tu hapo kwenye kona. Simba ndiyo timu pekee ambayo ilienda preseason superb hapa nchini, lakini onaaa mchango wa akina okrah, okwa, phiri kwenye timu, vuluvulu tu kama wengine
 
Sare ya Simba na hata kufungwa haiko mbali sana. Jana coastal yake imefungwa pia baada ya Simba yake kufungwa na Yanga pia. Simba inashinda lakini kwa wanaojua mpira unaona Simba inashinda kwa taabu sana.
Simba inayoshinda kwa tabu ina magoli matano haijafungwa hata moja yanga isitoshinda kwa tabu ina magoli manne imefungwa goli moja.
 
Te

kununua marefa na wachezaji, kuwasha moto uwanjani na kumulika vitochi machoni wachezaji hakuleta kikombe cha caf Tanzania. Tuwekeze kwenye wachezaji wenye viwango, tuwalipe vizuri wachezaji na benchi la ufundi lazima tutapata matokeo safi tu. Yanga imeshaianza safari hiyo ngumu. Hebu ona rafu zinazofanywa na Inonga na kanoute bila kupatiwa maamuzi ya hakhi kutatufikisha wapi? Iko siku rafu hizi za hawa vijana zitakuja igharimu timu yao huko mbele ya safari, niamini mimi. Sasa hivi mmnajipa ile kitu inaitwa false hope na false positive results
hivi mashabiki wa yanga ule msemo wa wenye akili kwenu ni mstafu na baba yake lopolopo una ukweli eee.?
 
tofautisha magoli 4 ya ugenini na magoli 5 ya uwanja mzuri wa nyumbani na kubebwa juu. Mimi nakwambia sare ya kwanza ya simba iko tu hapo kwenye kona. Simba ndiyo timu pekee ambayo ilienda preseason superb hapa nchini, lakini onaaa mchango wa akina okrah, okwa, phiri kwenye timu, vuluvulu tu kama wengine
Kumbe kambi ya Simba ilikuwa superb!
 
Kumbe kambi ya Simba ilikuwa superb!
Off course!! Egypt na Avic wapi na wapi. SEMA TU Zoran Hana timu Bora kuliko Nabi, baada ya kufungwa na Yanga ndio anashituka usingizini, kabla ya hapo alidhani wabovu ni Kagere, Mugalu na Lwanga TU Kumbe ni wote bhana. Ana mchezaji mmoja TU sakho ambae anaweza kupata namba Yanga.
 
Back
Top Bottom