KAYOLE: Mume afariki baada ya kusukumwa na mpenzi wa mke wake

KAYOLE: Mume afariki baada ya kusukumwa na mpenzi wa mke wake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Dickson Samba, mwenye umri wa miaka 32, mhandisi wa umeme amefariki baada ya kudaiwa kusukuma kutoka kwenye kibaraza cha juu ya nyumba yake huko Kayole, Nairobi.

Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo lilitokea baada ya mapambano au ugomvi uliotokea kati ya Dickson, mkewe Susan Nyawaga na wanaume wengine wawili.

OCPD wa Kayole Joseph Gichangi amesema kuwa uchunguzi bado unaendelea.

==============================================================
Dickson Samba, 32, an electrical engineer died after he was allegedly pushed off the balcony of his house in Kayole estate, Nairobi.

According to neighbours, the incident occurred after a confrontation between Dickson, his wife Susan Nyawaga and two other men.

Kayole OCPD Joseph Gichangi however stated that investigations are still underway.

A visit to the home on Monday by CitizenTV revealed a broken window pane, dried up blood spattered on the wall and the balcony rail as well as dents on the bedroom door.

His family is yet to come to terms with the death of a man they described as soft spoken. “He was a good man,” his father Bishop Benson Samba said.

Dickson’s family paints a picture of a wife who stirred trouble throughout the 10 years of marriage.
 
Back
Top Bottom