Kazadi Kasengu haendi Yanga, ulikuwa uongo mtakatifu

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Ukweli ni kwamba kuna viongozi pale utopoloni wakishirikiana na kundi la Yanga WhatsApp la kina Mo Kabwe na kina Jimmy Kindoki kazi yao kila siku ni kutengeneza makorokocho kudanganya wana utopolo, and oh boy it works perfectly!

Juzi tukaambiwa Kazadi Kasengu yuko kwenye ndege anakuja Bongo, punguani wahedi nyie

Capture.PNG
 
Hizo habari zinaletwa na vikundi vya WhatsApp ili kuongeza idadi ya followers na pia katika kujifanya wana taarifa za ndani za klabu. Viongozi watoe taarifa za uongo ili iweje ikiwa dunia saivi ni utandawazi? Unakumbuka bus la Scania ya Yanga uvumi wake ulianzia kwenye hivi hivi vikundi nakuiponda bus ya Simba kwavile ni Tata. Mwisho wa siku na wao bus lao ni Tata zambe vile vile.
 
Mo kabwe yuko hapa jukwaani na yuko active najua anasoma nenda klabuni pale jangwani kama utamkosa, jimmy kindoki juzi kwenye kipenga extra anasema hata uzushi wa lui jose kusajiliwa yanga kabla ya ile mechi ya tarehe 3 wali u coordinate, hizi habari zina baraka ya baadhi ya wahusika pale yanga na waandishi wa magazeti ili kuwapa munkari watu kama nyie na kuwatuliza ila mwsiho wake mbaya sana kwa kweli
 
Kuwa karibu na Yanga ama kuwa karibu na viongozi wa Yanga hakumfanyi mtu ajue taarifa sahihi sahihi za klabu. Unataka kuniambia kuwa lile bus la Scania waliopost kwenye kurasa zao, waliambiwa na kiongozi fulani kuwa tunanunua bus hili hapa? Hao wanaokoteza tu taarifa zilizo sahihi na zisizo sahihi ilimradi kurasa zao zionekane ni vyanzo vizuri vya taarifa.
 
Ilikua ni trick ya kuendelea kuwazuga wanautopolo ili wasiwe na kumbukumbu ya kumuuliza injinia kuhusu ubingwa.
na inafanikiwa kwa kweli ukijumlisha na lile gazeti la mwanaspoti wana utopolo wanaamini mwaka huu wamesajili kwa bilioni 8,kambole kaachwa rasmi na amakhosi kazi kwao sasa
 
Back
Top Bottom