Kazaliwa @_Dinazarde

Kazaliwa @_Dinazarde

Habari zenu wana Jf!
Napenda kuchukua wasaa huu Kumshukuru Mungu kwa ajili ya rafiki yangu, ,mshauri wangu na ndugu yangu, Dinazarde,kwani siku ya leo miaka kadhaa nyuma alizaliwa!

Mungu amjaalie kila lililo jema katika maisha yake,ampe afya bora na utajiri kila eneo.Nasisitiza utajiri kwa sababu ukiwa maskini hapa chini ya jua utadharaulika mno alafu utakuwa na Roho mbaya na ya kwanini automatically tu yani.

Endelea kuwa mkarimu hivyo hivyo usibadilike yani.Ucheshi wako na bashasha ndio unakufanya uzidi kuwa Pisi kali, kaa mbali na negative energy usizipe nafasi kabisa.Zaidi ya yote ishi maisha yako ukiwa na Imani kuwa umeumbwa kula raha hapa duniani.Yani usiridhike na maisha ya tabu tabu, ukayaona ni kawaida,Noo sio kawaida kabisa,Piga kazi mpaka kwenda kupumzika eneo unalotaka wewe iwe kawaida!
Make a wish today and it shall become the truth today...nasema uongo ndugu zangu??

Nileteeni Dinaaa!
Nileteeni Dinaaa!
Nileteeni Dinaa...nasema nileteeni Dinaaa!
Samahani kwa wageni humu ndani tusio Mjua vizuri.
Tuna reply nini au tumuwish kama wengine wanavyo fanya.
 
Happy [emoji512]ma love mommy Dinazarde .
Jah blec n protect u ever,
Akufanikishie Yale yote uliyoshindwa kuyatimiza, kwa uwezo wake yeye Jah yakatimie, upate kuona ukuu wake.
Enjoy ur import dai
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Habari zenu wana Jf!
Napenda kuchukua wasaa huu Kumshukuru Mungu kwa ajili ya rafiki yangu, ,mshauri wangu na ndugu yangu, Dinazarde,kwani siku ya leo miaka kadhaa nyuma alizaliwa!

Mungu amjaalie kila lililo jema katika maisha yake,ampe afya bora na utajiri kila eneo.Nasisitiza utajiri kwa sababu ukiwa maskini hapa chini ya jua utadharaulika mno alafu utakuwa na Roho mbaya na ya kwanini automatically tu yani.

Endelea kuwa mkarimu hivyo hivyo usibadilike yani.Ucheshi wako na bashasha ndio unakufanya uzidi kuwa Pisi kali, kaa mbali na negative energy usizipe nafasi kabisa.Zaidi ya yote ishi maisha yako ukiwa na Imani kuwa umeumbwa kula raha hapa duniani.Yani usiridhike na maisha ya tabu tabu, ukayaona ni kawaida,Noo sio kawaida kabisa,Piga kazi mpaka kwenda kupumzika eneo unalotaka wewe iwe kawaida!
Make a wish today and it shall become the truth today...nasema uongo ndugu zangu??

Nileteeni Dinaaa!
Nileteeni Dinaaa!
Nileteeni Dinaa...nasema nileteeni Dinaaa!
Happy birthday to my only and only mpenzi Dinazarde, another year has passed and here comes another reason to celebrate your birthday. May this day be as sunny as your smile, and as beautiful as you are. You shine everyday, but on this day you will shine the brightest, happy birthday I love you always G.
 
Happy [emoji512]ma love mommy Dinazarde .
Jah blec n protect u ever,
Akufanikishie Yale yote uliyoshindwa kuyatimiza, kwa uwezo wake yeye Jah yakatimie, upate kuona ukuu wake.
Enjoy ur import dai
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7]

Ooo sweeet sweeet word kipenzi shukran kwa baraka unazoniombea nawe nakuombea kheri tele tuzidi ishi miaka mingii
 
Back
Top Bottom