Inawezekana analifikiria?
Acha umbumbumbu wewe!!Habari wanajamvi?
Kwa siku za karibuni kila kocha akiondoka Yanga huwa anatuacha na jina. Mara tuliitwa wapumbavu, wajinga, hatuna akili, nyani, golira hayo ni baadhi tu ya majina tuliopewa na makocha. Je Kaze katuacha na jina gani?