Kazi aliyoifanya Katambi ilipaswa kufanywa na Dorothy Gwajima, BASATA

Kazi aliyoifanya Katambi ilipaswa kufanywa na Dorothy Gwajima, BASATA

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Mama Gwajima na BASATA ndio wanahusika na hao wasanii, maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani.

ila uyo bro katambia apo ameichanganya.
 
Mama gwajima na basata ndio wanahusika na hao wasanii,maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani ila uyo bro katambia apo ameichanganya
Mnaona wivu Katambi kuwasamehe wenye dhambi,wakosaji na wavunja Sheria za nchi?? Katambi amewasamehe na wakosaji wamesema hawatarudi kwenye dhambi Tena!! Mnataka afanje nn Tena? Katambi ana kosa gan kutumia 4Rs kuwapatanisha watu?
 
Kumbe Katambi ana mahakama!
Uwezo wetu wa kufikiri umefika mwisho.
Miaka ya nyuma alikuwepo Mrema akaanzisha ujinga kama huo,akazivuruga familia,mambo ya mahakamani akayafanya yeye,ukawa mtaji wa kisiasa akaukwaa unaibu waziri Mkuu.
Makonda naye akaja akaharibu taswira za watu, wale wavivu wa kuchanganua mambo tukamshangilia sana....
Endelea Katambi...
 
Mama gwajima na basata ndio wanahusika na hao wasanii,maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani ila uyo bro katambia apo ameichanganya
 
Attachments

  • VID-20260905-WA0004.mp4
    8.5 MB
Back
Top Bottom