AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Mnaona wivu Katambi kuwasamehe wenye dhambi,wakosaji na wavunja Sheria za nchi?? Katambi amewasamehe na wakosaji wamesema hawatarudi kwenye dhambi Tena!! Mnataka afanje nn Tena? Katambi ana kosa gan kutumia 4Rs kuwapatanisha watu?Mama gwajima na basata ndio wanahusika na hao wasanii,maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani ila uyo bro katambia apo ameichanganya
Kumbe Katambi ana mahakama!Mnaona wivu Katambi kuwasamehe wenye dhambi,wakosaji na wavunja Sheria za nchi?? Katambi amewasamehe na wakosaji wamesema hawatarudi kwenye dhambi Tena!! Mnataka afanje nn Tena? Katambi ana kosa gan kutumia 4Rs kuwapatanisha watu?
Mama gwajima na basata ndio wanahusika na hao wasanii,maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani ila uyo bro katambia apo ameichanganya