Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Yaani hivi vitu vione hivi hivi. Na utasema Nyerere na Mkapa hawakuuwawa sivyo? Siasa sio mchezo wa watoto.Basi wewe ndo wa kuhurumiwa pamoja na chadema kwa kushangilia kurudi huyo mtu...ktu aliyetakasa uchaguzi na mauwaji ya october 29.
Hakuna kazi yoyote aliyotumwa bali uchangu wa kisiasa tu. Msimpe sifa asizoshahili chawa huyu.Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.
Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
Wee acha tu. Huwezi amini.Hakuna kazi yoyote aliyotumwa bali uchangu wa kisiasa tu. Msimpe sifa asizoshahili chawa huyu.
Hamna lolote huyo Msigwa alienda kusaka cheo huko ccm. Acha kucheza mindgame za bei rahisi boss.Wee acha tu. Huwezi amini.