Kazi ambazo ni rahisi kukuingiza kwenye laana wewe na familia yako kama hutokuwa makini

Ungeanza na mafundi ujenzi kula huyu laana anachukua kazi anadhulumu mafundi wake anajitia sifa kuwa na kazi nyingi ila kahama chumba na sebule kahamia chumba kimoja maisha yake bora hata ya msaidizi wake dhuluma haijawahi acha mt salama bora umdhulumu mtu mwenye nacho na sio kile mtu anachotegemea

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Madaktari je?
Ongezea Wahasibu (accountants) najua hauwajui wanafanyafanyaje Ila waongezee hapo, wewe jua tu hao watu muda wote wanaishi na funguo ya kabati lenye Pesa (sio Pesa zao)
 
Una raaniwaje na mtu usomjua unapataje rahana kwa kufanya kazi na majukumu yako uloajiliwa au kusomea kuyafanya
Jasho la mtu halidhulumiwi ndio maana linanuka na kutoa harufu hata Pesa inatoa harufu sasa wewe endelea kuwadhulumu yatakutokee puani siku moja
 
Andiko zuri hongera Sana nimejifunza kitu kipya kuhusu riziki na ujira .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…