KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Kabisa kabisaaa ngoja waje hapa tuone tuweze kusaidianaNgoja nisikiloze idea za watu
Sijaona kama kuna shida mkuu kutokana na mna kila mtu anavyokuwa anajipanga kwa ajili ya akazi na majukumu yake,Japo Kwa upande wangu kwa hayo mambo mamtatu yaliyoorodheshwa hapo juu hakuna kazi inaweza kushindikana.
Mkuu badili hayo maneno hapo juu
Chakwanza ndugu yangu inakubidi uwe developer wa hiyo field yako unayotaka kuihack, maana itakusaidia kukufanya kujua madhaifu yake yanakuwa wapi nk,wale wanaoulizaga leo wamepotea, mkuu mimi nisaidie natamani nijifunze hacking hata ndogo ndogo tu kama hobbie tu, ni mambo gani nijifunze na nifanye nini nipate ABC za hio kitu.
Unataka kujifunza ama inakuwaje?Sasa mkuu hapo kwenye udeveloper ndo inshu hebu nipe walau ABC zake ndo nifanye nn sasa.
ndio nko sirias na hizi inshu natamani nijifunze ningependa unambie jifunze hiki na hiki pitia hapa na pale.Unataka kujifunza ama inakuwaje?
Hebu kwanza ingia google ndugu some tu kuelewa developing ni nini nk upate ule mwangaza baada ya hapo utakuwa specific ni nini unataka kukijua itanipa urahisi zaidi kukushauri uanzie wapi.ndio nko sirias na hizi inshu natamani nijifunze ningependa unambie jifunze hiki na hiki pitia hapa na pale.