ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
š¤£š¤£š¤£ nacheka kama mazuri. Naunga mkono hoja 100% Bongo hatujawahi kuwa serious kwenye jambo lolote lile kama nchi.Huyo jamaa naye alikosa kazi ya kufanya.Alijisahau kwamba hii ni bongolala.hatujawai kua serious kwenye jambo lolote,tena kwenye mambo yakujali muda,kanuni na sheria ndo kabisa hatujali.
Jambo pekee tunalolipa uzito ni kuhakikisha simu inakuwa charged muda woteHuyo jamaa naye alikosa kazi ya kufanya.Alijisahau kwamba hii ni bongolala.hatujawai kua serious kwenye jambo lolote,tena kwenye mambo yakujali muda,kanuni na sheria ndo kabisa hatujali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serikali Impatie hata Bajaji kupunguza machungu ya safari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aanze mbio za kurudi nyumbani..
GSM amfanyie kitu aisee.Tff kabla ya yote nadhani waanze kumfikiria ndugu yetu huyu aliyeingia jijini leo baada ya safari ndefu anaishije mjini hapa na anarudi rudi je Kgm?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu tufanye hata kumchangia atandie malori ya kwenda rwanda atashukia njiani nauri yake itakapoishiaAanze mbio za kurudi nyumbani..
Hata wakati anakuja mjini alidandiadandiaššMkuu tufanye hata kumchangia atandie malori ya kwenda rwanda atashukia njiani nauri yake itakapoishia
Daah siyo poa kabisa, huyu mwamba ningekuwa na namba yake ningemrushia hata kifuta jashoTff kabla ya yote nadhani waanze kumfikiria ndugu yetu huyu aliyeingia jijini leo baada ya safari ndefu anaishije mjini hapa na anarudi rudi je Kgm?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app