Kazi Anayo Mkimbiaji Wetu toka Kigoma

Kazi Anayo Mkimbiaji Wetu toka Kigoma

Serikali Impatie hata Bajaji kupunguza machungu ya safari
 
Huyo jamaa naye alikosa kazi ya kufanya.Alijisahau kwamba hii ni bongolala.hatujawai kua serious kwenye jambo lolote,tena kwenye mambo yakujali muda,kanuni na sheria ndo kabisa hatujali.
🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri. Naunga mkono hoja 100% Bongo hatujawahi kuwa serious kwenye jambo lolote lile kama nchi.
 
Bora aogelee mpaka Zanzibar kumaliza hasira zake
 
Back
Top Bottom