Huo ndo ukweli, ila wahuni wachache wanaofaidika na mapungufu yake ndio wanaotumia nguvu kuubwa kuaminisha umma kwamba mama anatosha mitano tena!.Hiyo ni Ishara kuwa hakubaliki!!
Shabibi alisema wakiimba wanakuja kumsifiaHuo ndo ukweli, ila wahuni wachache wanaofaidika na mapungufu yake ndio wanaotumia nguvu kuubwa kuaminisha umma kwamba mama anatosha mitano tena!.
Nyerere ilikuwa ukimsifia ,anakuletea noma ya hatari.Shabibi alisema wakiimba wanakuja kumsifia
Lakini ndiyo katuachia katiba mbovu hiiNyerere ilikuwa ukimsifia ,anakuletea noma ya hatari.
Lakini ndiye aliacha raslimali zote hizi ambazo Leo wanakimbizana kuziuza.Lakini ndiyo katuachia katiba mbovu hii
Haya majangili yote ya mali za umma karibu yote yamesoma bure wakati wake, alishindwa ni nini kuacha katiba bora wakati wa uongozi wake?Lakini ndiye aliacha raslimali zote hizi ambazo Leo wanakimbizana kuziuza.
Alijikita kuhakikisha anaacha URITHI Kwa vizazi vijavyo.
Tuambiane tu ukweli hakuna kitu kitamrudisha ikulu zaidi ya Tume isiyohuru.Wana lumumba mpogo?
Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?
Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita
Ni zawadi au nini?
Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?
Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?
Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Sasa amefanya mazuri yote hayo Bado unamdai Katiba mpya ilhali Hilo unaweza kuifanya wewe?Haya majangili yote ya mali za umma karibu yote yamesoma bure wakati wake, alishindwa ni nini kuacha katiba bora wakati wa uongozi wake?
Hebu acha lawama kwa huyu marehemu.. Hiyo katiba mmeshindwa nini kuibadilisha..Lakini ndiyo katuachia katiba mbovu hii
Hii katiba ni nzuri sn kwa mtu yoyote anayeiba mali za umma, yeye ndiyo aliacha misingi ya hovyoHebu acha lawama kwa huyu marehemu.. Hiyo katiba mmeshindwa nini kuibadilisha..
Alipokuwa madarakani kwanini hakubadilisha?Sasa amefanya mazuri yote hayo Bado unamdai Katiba mpya ilhali Hilo unaweza kuifanya wewe?
By the way, Mzee Warioba ni kijana wa Nyerere na amekwisha fanya KAZI iliyotukuka.
Hizi ndio kumlaani babu mzaa babu yako sababu alikuwa na chogo alilokuachia wewe unalaumu kasababisha wajukuu zako kupata chogo wakate wewe ulikuwa na opportunity ya kudilute genes hizo mbovu kwa kutafuta mlimbwende asiye na chogo kuliko huyu uliyenae sasa mwenye chogo....Hebu acha lawama kwa huyu marehemu.. Hiyo katiba mmeshindwa nini kuibadilisha..
Ibadilisheni sasa.. Kwa Nini mnamlaumu mzee aliyeondoka duniani miaka 25 iliyopita.. Kama mmeshindwa maana yake katiba hii haina shida..Hii katiba ni nzuri sn kwa mtu yoyote anayeiba mali za umma, yeye ndiyo aliacha misingi ya hovyo
Kwamba unashauri tukawaulize wafu juu ya mapungufu Yao?Alipokuwa madarakani kwanini hakubadilisha?
Ni mgumu sn sababu watawala inawapa mwanya wa kuiba mali za umma bila kusumbuliwa na yeyote, wote wana kingaMkuu, heshima kwako boss!
Tumekubaliana kwamba, sio muda wa kulaumu yaliyopita, ni muda wa sisi kuyakabili uso kwa uso kwa yanayotukwamisha