Kazi au mume......ushauri

Lakini kazi ya UN ni mkataba wa miaka miwili, so mume akiacha kibarua chake aondoke na mkewe then mkataba ukija kuisha itakuwaje?? Wanarudi kwenye msoto wa kutafuta kazi tena hapa bongo...?

Hapo ndugu umenena la maana, kama mu wazima wa afya tele mbona utamwacha na kumkuta. Kazi rahisi sana kuacha lakini kuipata hiyo kazi kama hauna ni balaa, kumbuka ni wengi wanaoitaka hiyo kazi.
 
Lakini kazi ya UN ni mkataba wa miaka miwili, so mume akiacha kibarua chake aondoke na mkewe then mkataba ukija kuisha itakuwaje?? Wanarudi kwenye msoto wa kutafuta kazi tena hapa bongo...?
<br />
<br />
 
...duh,bila shaka mume anamkoleza vizuri huyo bibie!!ambembeleze tu,me sioni kama kuna ubaya na najua hayo ni mapenzi ya ndoa changa,raha sana
 
Kwani huyo mumewe ni macho juu sana kiasi anahofia kumwacha abaki TZ atakuta ameshasepa? manake hadi mwanamke anafikiria aachie post aliyopata ili abaki na Husband.. au labda ni uchanga wa ndoa ... mie hata sielewi!

@Mayasa.....Acha masihara wewe......... miaka miwili akae mbali na mumewe? labda kama hamtaki........ Migubeli yote iliyojaa hapa Dar ikijitahidi kuwinda waume za watu, watamuacha kweli!?
 
Kwani huyo mumewe ni macho juu sana kiasi anahofia kumwacha abaki TZ atakuta ameshasepa? manake hadi mwanamke anafikiria aachie post aliyopata ili abaki na Husband.. au labda ni uchanga wa ndoa ... mie hata sielewi!

Kama mume ana tabia ya kuchakachua wengine hata wakiwa wanaongozana kila mahali, bado tu ataendelea na tabia yake, na kama hana hiyo tabia muache na wewe uende huko, hebu fikiria anaacha kazi, mkienda huko unakuta mambo ni ndivyo sivyo anarudi tena kazini na kuomba kazi au mnaanza kulala njaa, nenda mama mume muache utamkuta.
 
Mi naamin mwanaume ameshapima wapi pana maana zaidi kati ya kubaki na kusoma nje kutokana na potential life yake aliyonayo sasa hata baadae ndio maana kagoma.DAWA NI HII MWANAMKE AMPE PENZ ZITO KISHA AMUULIZE NINI SABABU KWA LUGHA YA KIMAHABA NA UKARIMU ATAMTAJIA REASON YA MSINGI KULIKO HIZI SABABU ZETU ZA KUOTEA.
 
Mkuu,
Nadhani unamshauri vibaya rafiki yako! Maadam hao ni wanandoa, distance kwa miaka miwili ni kitu kidogo sana compared to work. Binafsi nafanya kazi of that nature, which I be away for that long but it have never be a problem to my love. If U're all serious, hiyo haiwezi kuwasumbua.
Nampongeza sana huyo mwanaume kwa uelewa na ujasiri wake. Kuwa mkweli na kuweka wazi umuhimu wa kazi kwa mwenzie bila kuficha. Anastahili pongezi kubwa!
Mwambie rafiki yako aende akafanye kazi kwaajili ya maisha yao na amwache jamaa nae atafute ili kwa pa1 waijenge familia iliyo bora. Wasiwasi utavunja ndoa yake. Risk taker ndio wanaofanikiwa sana na haraka!
 

mkuu ukisema ndoa ni ya watu 2 ambao ni independent i beg to differ coz, ikiwa kila mtu anafanya lake katika ndoa then meaning ya ndoa haipo tena binafsi naamini ukikubali maisha ya ndoa unaweka kando umimi,na usisi unachukua nafasi n so to speak kila jambo unaloamua kufanya ni lazima uangalia litamuaffect vipi mwenzio sio tu kuamua bz wewe umeamua
 

kula tano kwanza.., kusudio la ndoa ni mke na mume kuishi pamoja under the same roof, ni hali ya uchumi kwa kweli ndio inayosababisha ukute mke anaishi dar mume anaishi mbeya , siitaki kuamini kama kuna hata mmoja kati yetu anayependa maisha haya ya kuoanana kila baada ya miezi 2/3, huyo best yangu amekuwa kwenye maisha hayo tangu waoane na mumewe, thats why hii kazi aliyopata imekuwa ni challenge kubwa sana.
 
Itakuwa mgumu nisafiri na mke yeye akafanye kazi mimi nibaki kufanya usafi wa nyumba. Aende tuu hela atakazo kuwa anatuma hizo hizo nitatumia kuwatunza wale ambao hawakusoma kama yeye
 
teh tehe watu wana PHD ila wanakoosa waume nyie mnaleta longo longo! fuata ya hao wasio na waume uone sulba yake!

Wewe Caro kwani wewe na masters zako saba huna mume??? Nyie ndo mnawapa vichwa hawa wanaume.
Mie mwanaume hanitishi wala hanibabaishi akileta za kuleta nakamata na tupa kuleeeeeeeee
Maisha yanasonga kwani mwanaume amekuwa chakula nikimkosa nakufa wewe taratibu eeehhh
 
Itakuwa mgumu nisafiri na mke yeye akafanye kazi mimi nibaki kufanya usafi wa nyumba. Aende tuu hela atakazo kuwa anatuma hizo hizo nitatumia kuwatunza wale ambao hawakusoma kama yeye

Ha ha ha ha ha toka asubuhi nilikuwa sijacheka yaani umeongea kitu cha maana sana hakiyadada vile
Ndivyo mnavyofanya mkikataliwa kutumiwa pesa mnanuna mwezi mzima ha ha ha ha ha ha ha
Hatumi mtu pesa hapa alah
 

Dema taratibu dea wamekuunzi nini hawa viumbe
 
<br />
<br />
mama weeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…