Tausi.
Senior Member
- Aug 29, 2011
- 123
- 48
Lakini kazi ya UN ni mkataba wa miaka miwili, so mume akiacha kibarua chake aondoke na mkewe then mkataba ukija kuisha itakuwaje?? Wanarudi kwenye msoto wa kutafuta kazi tena hapa bongo...?
Hapo ndugu umenena la maana, kama mu wazima wa afya tele mbona utamwacha na kumkuta. Kazi rahisi sana kuacha lakini kuipata hiyo kazi kama hauna ni balaa, kumbuka ni wengi wanaoitaka hiyo kazi.