Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi ni bora zaidi,simshauri kuacha kazi,wengi imewaghalimu.nina best yangu ameolewa mwaka sasa, recently amepata kazi nje ya tz (un) kwa mkataba wa miaka 2,yupo kwenye maandalizi kuondoka nchini amepewa miezi 2 ya kujiandaaa. Ameongea na mumewe kuhusiana na suala hili mumewe ameridhia.
Best yangu anatamani sana angeondoka na mumewe, na mpango wake ulikuwa wakati yeye yupo huko kikazi mumewe angekuwa anasoma degree ya pili. Mume amegoma amesema yeye hawezi kuacha kazi, na kama ni kusoma yeye atasoma hapa hapa tz. Hii issue inamsumbua sana best yangu na anasema kama vipi anaweza akaachia hiyo opportunity.
Mimi nimemshauri asiache hiyoo nafasi aliyopata, na aendelee kumshawishi mumewe waende wote kwani sioni sababu ya huyo mume kutokwenda na mkewe. Siamini kama kazi ni kisingizio coz ni mwajiriwa serikalini,na mishahara ya serikali inajulikana kwa hiyo sio kusema akiacha hiyo kazi atakuwa amepoteza big opportunity.
Naombeni tips zaidi juu mtazamo wenu kwenye hili labda naweza kupata idea za kumpa best yangu akaweza kumshawishi mumewe akubali waondoke wote, coz naamini itaimarisha ndoa yao.
Miaka miwili mbona michache tu. Mke anabana hadi penati. Duh!
nimesoma wapendwa asante
Hapo bana Mume ni mpango wa kando Kazi ni mpango mzima. Unamuwaza kumuacha Mama/Baba yako huyo? Ukirudi ukakuta kavuta kifaa unasonga mbele kha?!
Nimeipenda hiyo ya mume mpango wa kando, kazi mpango mzima. Teh teh.
Na unadhani Dena kuna mwanaume atathubutu kukuacha wakati una kazi yenye mshiko wa kueleweka?? Very rare. Atamkuta anamsubili.
Ningekuwa mimi ningebaki na mume. Makazi ya UN ushenzi mtupu. Nimekaa field 3 yrs, haizna mpango. Kamani hela bongo zipo tu za kutosha kama ni msakaji. Wengi wakisikia UN wanafikiri kuna cha zaidi ya kujistress kama huna mpango unaishia umaskini tu.
Dada wewe kaa na mume wako!!!!!!!! Endekeza ujinga wa UN tubaki nae sisi tunakuala raha.
Nakubaliana na caro, tatizo la wabongo wengi wakisikia unafanya UN wanadhani ni kila kitu, si kweli, inategemea pia na nchi husika mazingira yakoje, kama ni karzakistani, au Russia hakufai.Ningekuwa mimi ningebaki na mume. Makazi ya UN ushenzi mtupu. Nimekaa field 3 yrs, haizna mpango. Kamani hela bongo zipo tu za kutosha kama ni msakaji. Wengi wakisikia UN wanafikiri kuna cha zaidi ya kujistress kama huna mpango unaishia umaskini tu.
Dada wewe kaa na mume wako!!!!!!!! Endekeza ujinga wa UN tubaki nae sisi tunakuala raha.
Ubarikiwe sana kwa hii postkama uchakachuzi kati ya mume na mke unafanyika mnaishi wote sasa hiyo ya kufikiri eti utachakachuliwa haina msingi. Msingi ni ndoa yenu. Ukiruhusu mbio za kukaa mbali kwenye ndoa basi ujue unakaribusha shetani kuwa kiongozi wa maisha yako. Haya ninayosema hakuna wa kuyaelewa mapaka uone.
Muombe mungu akuongoze kwa hilo.
Dena umenichekesha sana..,kazi ndio mpango mzima copy that!
Nimeipenda hiyo ya mume mpango wa kando, kazi mpango mzima. Teh teh.
Na unadhani Dena kuna mwanaume atathubutu kukuacha wakati una kazi yenye mshiko wa kueleweka?? Very rare. Atamkuta anamsubili.