Kazi au Rehabilitation

Kazi au Rehabilitation

sniper ammo

New Member
Joined
May 30, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Mtu haouko addicted na pombe kazi yako iko vizuri na hakuna lawama Wala malalamiko yoyote kwa unaowahudumia lakini BOSS WAKO anakuambia chagua moja moja kazi au uende rehab?

Nlikua Naomba kufahamu mwajiri akitaka kumpeleka mfanyakazi wake rehab anatakiwa kufuata utaratibu gani?
 
REHAB wewe kwani ni teja? au umeathirika kisaikolojia? tuanzie hapo
 
Hata pombe mtu anaenda rehab msichanganye wakuu.

Inawezekana mkuu wewe hujioni kama upo addicted si unajua walevi hatujijuagi kama hali ishakuwa mbaya. Mtu wa nje ndio anajua hali ikiwa mbaya.

Mkuu nikushauri kitu? Kubali kwenda rehab.
 
Rehabilitation ni pana sana boss sio Madawaska na ulevi maana hata ulemavu maumivu navyo vinahitaji rehab
 
Msikilize, wakati mwingine maisha ni Kama mpira wa miguu, wakati wewe unadhani ukipiga cross itafaa, wa nje wanaona ukimpa mwenzio pass angemalizia vizuri....msikilize.
 
Back
Top Bottom