sniper ammo
New Member
- May 30, 2013
- 3
- 1
REHAB wewe kwani ni teja? au umeathirika kisaikolojia? tuanzie hapoMtu haouko addicted na pombe kazi yako iko vizuri na hakuna lawama Wala malalamiko yoyote kwa unaowahudumia lakini BOSS WAKO anakuambia chagua moja moja kazi au uende rehab?
Nlikua Naomba kufahamu mwajiri akitaka kumpeleka mfanyakazi wake rehab anatakiwa kufuata utaratibu gani?
🤣🤣🤣 Sio kweliBosi wako atakuwa kakugundua kuwe wewe ni teja wa unga!