King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
ni kweli lakini kuna baadhi ya changamoto unaweza kupitia zakawa ngumu sana, mfano, kazini ufokewe sana, au kitu kimepotea wanakusingizia ni wewe, au umeajiri mtu kwenye Biashara yako anakuibia pesa ndefu!
Zote ni changamoto ambazo unaweza ukadhibiti ,kama kuna involvment ya cash jitahidi kupokea kwenye digital(Bank,xpesa etc) no cash.
Maofisi mengi yana camera stand tall waambie wacheck camera kujua nani aliyeiba , kazini inatakiwa uwe cool/humble/charming hakuna atakayekufokea cha msingi ni kutumiza majukumu yako fresh.