King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
ni kweli lakini kuna baadhi ya changamoto unaweza kupitia zakawa ngumu sana, mfano, kazini ufokewe sana, au kitu kimepotea wanakusingizia ni wewe, au umeajiri mtu kwenye Biashara yako anakuibia pesa ndefu!
Ni kweli mkuu sikupingi. Lakini pia kwa dunia tuliyopo utulivu ni mdogo hata kama utafata taratibu zote, chaos lazima iwepo, hata kwenye fasihi wanasema JAMII ISIYO NA MIGOGORO NI JAMII AMBAYO HAIJAKAMILIKA thibitisha kwa kutumia riwaya mbili etcZote ni changamoto ambazo unaweza ukadhibiti ,kama kuna involvment ya cash jitahidi kupokea kwenye digital(Bank,xpesa etc) no cash.
Maofisi mengi yana camera stand tall waambie wacheck camera kujua nani aliyeiba , kazini inatakiwa uwe cool/humble/charming hakuna atakayekufokea cha msingi ni kutumiza majukumu yako fresh.
Achana na kupasuka tu, hapo inabidi kukifumua kinu chote na kutoa vipande vya chuma vile, kubadili chekeche obviously huwa niatoboka na vipande kusagwa tena, na ule na unga wa akiba unaokuaga mule na kuutupa kabisa make haufai tena kifupi ni ka mchakato kazitoMachine na chekechea vina pasuka!
ChangamotoHii kazi pasua kichwa maana wadau wengi wanailalamikia
Yeah maana kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.Achana na kupasuka tu, hapo inabidi kukifumua kinu chote na kutoa vipande vya chuma vile, kubadili chekeche obviously huwa niatoboka na vipande kusagwa tena, na ule na unga wa akiba unaokuaga mule na kuutupa kabisa make haufai tena kifupi ni ka mchakato kazito
ππππ Ujakaa vizuri contactor imekufa na bei yake NI kuanzia elf 45 bado fundi WA kuweka .unaachiwa mizigo utasaga baadae then unaenda nunua chekeche au kuliziba ,shughuli inaanza katika kulitoa used na kuweka new .mpaka hapo unakuwa tayari umeloa vumbi la kutosha .Ujakaa vizuri unashtuka kuna mtu anaweka mzigo paa πMachine na chekechea vina pasuka!
ππππ Ujakaa vizuri contactor imekufa na bei yake NI kuanzia elf 45 bado fundi WA kuweka .unaachiwa mizigo utasaga baadae then unaenda nunua chekeche au kuliziba ,shughuli inaanza katika kulitoa used na kuweka new .mpaka hapo unakuwa tayari umeloa vumbi la kutosha .Ujakaa vizuri unashtuka kuna mtu anaweka mzigo paa π