Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
"Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama nilivyo ahidi.

Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au kutozungumza tena_____ lady jaydee.

Injunction order
An injunction is a court order requiring a person to do or cease doing a specific action.Temporary restraining orders and preliminary injunctions are temporary injunctions. They are issued early in a lawsuit to maintain the status quo by preventing a defendant from becoming insolvent or to stop the defendant from continuing his or her allegedly harmful actions. Choosing whether to grant temporary injunctive relief is a discretionary power of the court. Permanent injunctions are issued as a final judgment in a case. Failure to comply with an injunction may result in being held in contempt of court.

Ni wazi Kusaga na Ruge waliomba zuio la mahakama dhidi ya jyde na wakafanikiwa ndio maana hule waraka tuliotegemea haukutolewa na hili zuio uwenda likadumu kutegemea na mwenenendo wa case yao.
Bila shaka pengine watu wasipate kuhusikia au kuona waraka mwingine kutoka kwa jyde na huu ni mwanzo tuu pengine mahakama ikaweka zuio hata mwisho wa case.

Lakini ni wazi hii case nayo itatupiliwa mbali kama case zingine maana lengo kuu hapa ni kuwapatanisha hakuna njia zaidi ya mahakama.

Pengine lady jaydee akapitia katika kipindi kigumu lakini atashinda.huu ni wakati wake wa kusimama vilivyo maana atakumbana na zaidi ya haya.

__________________________________________________________________________________________________
T.I.D AJITOA KUSHIRIKI SHOW YA LADY JAYDEE

Huku saga la jyde na clouds likiendelea kushika kasi T.I.D ametangaza kujitoa kwenye show ya jyde huku akitoa sababu, pengine ni vyema kuto ingilia maamuzi ya mtu ni wazi kuwa T.I.D ameweka uoga mbele, nilijiuliza kuwa kwani kushiriki kwenye show ya jaydee ni kuwa na chuki na kusaga? hakika wasanii bado mnayo safari ndefu sana.ukiangalia pamoja na sababu zilizo tolewa na T.I.D ni wazi uoga ni sababu kubwa. kwa hiyo T.I.D anataka kusema kushiriki show ya jaydee ni kushiriki ugomvi wake na kina kusaga? kweli hapa na pata picha kwanini lady jaydee alisema yote yale na kwa nini linah na barnaba walijitoa.

hapa tatizo si pesa tatizo ni uoga wa wasanii.

Li
 
kwa hiyo kama ilipitia the same shit ameamua na mwenzie apitie the same shiti
eti anataka kuoa alikuwa wapi siku zote kuoa bongo alioa george tyson,alioa fundkira kiko wapi.....

huyu tid anapenda kujidogosha saana wakati umri umemtupa mkono
 
achen uoga wasaniiiii ni wakat wenu wa kupambana sasa ili baadae vizaz vijavyo vinufaike na kazi ya music, katka mapambano yyt ni lazma watu wajitoe muhanga na hao mara nying huwa mashujaaa bt huo uoga wenu mtabak kulalamika tu!!!!!!!!!!
 
kwakweli mtu mwenye utimamu wa akili hawezi kumuelewa t.i.d na ni wazi amehamua kutumika lakini naamini jaydee atashinda tuu. ina maana akishiriki show hatoweza kuoa? yani sijawai ona sababu za kijinga kama alizo toa T.I.D hakika.
 
huwezi amini T.I.D anajaribu kusema eti hawezi kupiga show kisa lady jaydee kagombana na clouds group? wasanii wana safari ndefu sana
 
jide anahangaika nini?? awaite ant-virus wafanye kazi waone kama hakuta kucha. yaani itakua bandika bandua hadi asubuhi na 100.5 times fm itawapa support vilevile. chezeya wewe!!. mia
 
Huu uwoga ndio unao wamaliza wasanii na kubaki wanadunda hapo hapo bila kusonga mbele
 
nyuma ya nyumba yenu si kuna kijiwe cha kunywa kahawa na mida yenyewe ndo hii

Naona unahangaika sana kujifanya unanijua. Nyumbani kwetu hakuna kijiwe cha kahawa na mimi wala siishi Tanzania, kwa taarifa yako. Huku niliko ndo kwanza mishale ya saa tatu asubuhi.
 
kwakweli mtu mwenye utimamu wa akili hawezi kumuelewa t.i.d na ni wazi amehamua kutumika lakini naamini jaydee atashinda tuu. ina maana akishiriki show hatoweza kuoa? yani sijawai ona sababu za kijinga kama alizo toa T.I.D hakika.

sijui ata kaishia darasa la ngapi huyu jamaa manake ata mtu aliyechora zombi kwenye mtihani wa mwaka 2012 hawezi kutoa sababu kama zake,yani kuoa wapi na wapi?hiyo contract inayom-pay hvy kaingia lini?kufanya show na j dee niku-interapt in the middle of their conflict ki vipi?aache uoga huyo katishwa.
 
Naona unahangaika sana kujifanya unanijua. Nyumbani kwetu hakuna kijiwe cha kahawa na mimi wala siishi Tanzania, kwa taarifa yako. Huku niliko ndo kwanza mishale ya saa tatu asubuhi.

waishi wapi viile ati Nyani Gabu
hivi ni kweli hujui Jide anacholilia au huko nje ya tanzania hamjaipata hii habari
 
Last edited by a moderator:
sijui ata kaishia darasa la ngapi huyu jamaa manake ata mtu aliyechora zombi kwenye mtihani wa mwaka 2012 hawezi kutoa sababu kama zake,yani kuoa wapi na wapi?hiyo contract inayom-pay hvy kaingia lini?kufanya show na j dee niku-interapt in the middle of their conflict ki vipi?aache uoga huyo katishwa.

bila shaka kupitia maneno hayo ya T.I.D wengi watamuelewa lady jaydee
 
waishi wapi viile ati Nyani Gabu
hivi ni kweli hujui Jide anacholilia au huko nje ya tanzania hamjaipata hii habari

Naishi pale karibu na wanapouza kahawa.

Jide is a big cry baby. She needs to re-package her offering if she wants to be relevant again.
 
wasanii wa BONGO ni WAOGA sana....they can't push music industry foward kwa mwenendo huu!!
wewe ungepata contract inayolipa zaidi ungeiacha kisa kuonekana umetumwa na clouds?? MONEY FIRST SYMPATHY LATER
 
Kwel ukistaajabu ya Rina/Barnaba/Matonya utayaona ya TID, kwel madawa ya kulevya madhara yake n makubwa sana kiasi kwamba mtu mzima anatoa sababu za kitoto. Kwel watu hawakombolewi ila wanajikomboa, endelea kupambana Jide dhidi ya wanyonyaji wa wasanii kwani ukwel uwa una kawaida ya kujisimamia.
 
Huu uwoga ndio unao wamaliza wasanii na kubaki wanadunda hapo hapo bila kusonga mbele

Kweli nimeamini kusaga ana nguvu sana kumbe ana uwezo wa kuzuia harusi ya T.I.D kama akishiriki show ya lady jaydee.
Nazidi kumuelewa lady jaydee na pengine akabaki pekee lakini show itafana.

hakika T.I.D kaniacha hoi sana na hizi sababu zake na ni wazi hapo sababu kuu ni RUGE
Daa labda restain order imemzuia T.I.D kushiriki show ya jaydee, hakika duniani kuna mengi.
Kama ukipata kumsikia T.I.D ana ongea na ukaangalia na hayo maneno unaweza kujiuliza huu uwoga ameutoa wapi.
 
Back
Top Bottom