steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
kama hujajua
anacholilia siku zote hizo nenda nje kaendelee kunywa kahawa hapo nyuma
kwenu
mkuu,hao ndio wote wanaotumika,hawawezi kukuelewa coz na wao bila wale hawana wanachokifanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hujajua
anacholilia siku zote hizo nenda nje kaendelee kunywa kahawa hapo nyuma
kwenu
wewe ungepata contract inayolipa zaidi ungeiacha kisa kuonekana umetumwa na clouds?? MONEY FIRST SYMPATHY LATER
Bila shaka T.I.D hakufikiri kabla ya kutoa sababu hizi.Kwel ukistaajabu ya Rina/Barnaba/Matonya utayaona ya TID, kwel madawa ya kulevya madhara yake n makubwa sana kiasi kwamba mtu mzima anatoa sababu za kitoto. Kwel watu hawakombolewi ila wanajikomboa, endelea kupambana Jide dhidi ya wanyonyaji wa wasanii kwani ukwel uwa una kawaida ya kujisimamia.
Naishi pale karibu na wanapouza kahawa.
Jide is a big cry baby. She needs to re-package her offering if she wants to be relevant again.
Kweli nimeamini kusaga ana nguvu sana kumbe ana uwezo wa kuzuia harusi ya T.I.D kama akishiriki show ya lady jaydee.
Nazidi kumuelewa lady jaydee na pengine akabaki pekee lakini show itafana.
hakika T.I.D kaniacha hoi sana na hizi sababu zake na ni wazi hapo sababu kuu ni RUGE
Daa labda restain order imemzuia T.I.D kushiriki show ya jaydee, hakika duniani kuna mengi.
Kama ukipata kumsikia T.I.D ana ongea na ukaangalia na hayo maneno unaweza kujiuliza huu uwoga ameutoa wapi.
Acha kutetea ujinga na woga.wewe ungepata contract inayolipa zaidi ungeiacha kisa kuonekana umetumwa na clouds?? MONEY FIRST SYMPATHY LATER
Sina hakika kama kweli huyo ni TID mwenyewe.....na tilia Shaka uwezo wake wakupambanua mambo! Sababu zake hazina msingi wowote, ni bora ungekaa kimya bila kusema chochote then ungeendelea kua shujaa machoni mwetu...kuliko hivi sasa unaonekana msaka tonge!
Acha kutetea ujinga na woga.
Kama TID kapata big contract kuliko ya JD angesema wazi basi ili watu tumwelewe jinsi alivyo na Tamaa na sio kutoa visingio vya kijinga.
Lakini yote kwa yote hakupaswa kujitoa kwenye show kama tayari alishakubali kuingia mkataba na JD.
Wasanii wa Bongo waache Woga na Tamaa.
Mimi sio mpenzi wa muziki hususani Bongo flavour lakini katika hili nitasimama kumtetea Lady JD kwa kuwa ni haki yake.
Nitafanya juu chini niwepo kwenye Show ya Lady JD kwa lengo moja tu la kumuunga mkono katika vita ya kupambana na wanyonyaji katika nchi yetu.
Kwenye siasa mnyonyaji mkuu ni CCM na kwenye Bongo flavour mnyonyaji mkuu ni Clauds Entertainment. Na kwa bahati mbaya sana hawa wanyonyaji wanashirikiana sana.
ndio maana sisikilizi nimbo za kibongo,wasanii waoga sijawai kuona,aa upeo hawana,lisanii lizima linatoa sababu za kijinga,kwanza uyo TID toka aanze kusema anaoa ni miaka ming imepita,kila siku anasema anaoa,naona wasanii wanaabudu miungu watu,ndio maana tunacopy zao kwanza hawana umoja,shauri zenu
daaa eti ndoa ni sababu ya kutofanya show, kumbe watu wakifanya show na jaydee wanaweza kutekwa.
nitaendelea kusikiliza nyimbo za kiganda etc,sababu za kijinga jinga,sasa bifu la watu ati anaogopa upiga show sababu ataingilia bifu wakat mzik ni kaz yake,sijui wamemtisha,poor boy
hapa tatizo ni kutumika hakuna lolote. hivi watu waache kufanya kazi na jaydee kisa kumuogopa kusaga na ruge.
hakika T.I.D ni mtupu kichwani.