Kazi Iendelee hadi 2035

Kazi Iendelee hadi 2035

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Mambo mazuri yanataka muda, nasi tumeamua kwa kauli moja twende pamoja kwa umoja hadi 2035 kutekeleza miradi ya kimkakati;
1. Bomba la mafuta toka Hoima -Tanga,
2. Upanuzi wa Bandari zote nchini.
3. Bwawa la Mwl. Nyerere.
4. Reli ya SGR (Dar-Mwanza/Kigoma).
5. Upanuzi wa Uwanja wa KIA, JNIA, Unguja na Pemba).
 
MTAJI MKUBWA WA CCM.

kufisadi NCHI .
Kuingia mikataba ya kifwala..
RUSHWA.
Kukosa UBUNIFU.
UPUMBAVU.
Ujinga nk.
WIZI.


MTAJI WAKE NI WAPUMBAVU, WAJINGA, MAZUZU NA WENDAWAZIMU., NA MAZEZETA KAMA MLETA USI.
 
MTAJI MKUBWA WA CCM.

kufisadi NCHI .
Kuingia mikataba ya kifwala..
RUSHWA.
Kukosa UBUNIFU.
UPUMBAVU.
Ujinga nk.
WIZI.


MTAJI WAKE NI WAPUMBAVU, WAJINGA, MAZUZU NA WENDAWAZIMU., NA MAZEZETA KAMA MLETA USI.
aaah Miradi ya CCM huwezi Linganisha na Vyama vingine
 
Back
Top Bottom