JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Nimekuwa nikiona watu mbalimbali sasa wanashikwa kutumia hii salam, Nikiangalia hata katika mikutano wengi hawitumii isipokuwa anapokuwepo Rais ndipo hutumia.
Hata hivyo hii salam inaendelea kupunguza umuhimu kwa sababu ya hari ya maisha.
Ukisema kazi iendelee ni kama kejeri fulani hivi kwa wananchi.
Mafuta bei Juu, Kazi Inendedelee.
Nondo bei Juu, Kazi iendelee.
Je, tutarajie salam nyingine?