Hata mama mwenye nyumba mwenyewe ameshaisahau.Nimekuwa nikiona watu mbalimbali sasa wanashikwa kutumia hii salam, Nikiangalia hata katika mikutano wengi hawitumii isipokuwa anapokuwepo Rais ndipo hutumia.
Hata hivyo hii salam inaendelea kupunguza umuhimu kwa sababu ya hari ya maisha.
Ukisema kazi iendelee ni kama kejeri fulani hivi kwa wananchi.
Mafuta bei Juu, Kazi Inendedelee.
Nondo bei Juu, Kazi iendelee.
Je, tutarajie salam nyingine?
Nimekuwa nikiona watu mbalimbali sasa wanashikwa kutumia hii salam, Nikiangalia hata katika mikutano wengi hawitumii isipokuwa anapokuwepo Rais ndipo hutumia.
Hata hivyo hii salam inaendelea kupunguza umuhimu kwa sababu ya hari ya maisha.
Ukisema kazi iendelee ni kama kejeri fulani hivi kwa wananchi.
Mafuta bei Juu, Kazi Inendedelee.
Nondo bei Juu, Kazi iendelee.
Je, tutarajie salam nyingine?
Hii kauli ndo inawapa kiburi wafanya biashara kujipandishia vitu hovyoKila kitu kitapanda. Wambieni wananchi. Kila kitu kitapanda bei.