Kazi imeanza: AlMasry wazimiwa taa mazoezini huko Berkane

Kazi imeanza: AlMasry wazimiwa taa mazoezini huko Berkane

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na kusema kwamba team yao ya nyumbani inatumia Dirty tricks kwa kufanya interviews na Tv za Misri au la, tutawajuza kadiri muda uendavyo

masry.PNG
 
Tena Almasry akiwa anaupungufu wa wachezaji wawili waliopigwa red card

Rs Berkane lazima achachawe
 
Tena Almasry akiwa anaupungufu wa wachezaji wawili waliopigwa red card

Rs Berkane lazima achachawe
Kama ukisikia kuna kanjanja lolote huko Morocco litafanyiwa interview kwenye Tv za Egypt kulalamikia team yao ya nyumbani kutokana na tukio hilo unistue kaka,maana la simba kupigwa na chupa za maji hatukusikia lolote halafu hili tena wala hautasikia makanjanja ya kimoroko yakisema hiyo team inatumia dirty tricks
 
Lile chambuzi la mchongo liko wapi, si linajifanya linajua sana soka la Africa na figisu zake.
 
Kama ukisikia kuna kanjanja lolote huko Morocco litafanyiwa interview kwenye Tv za Egypt kulalamikia team yao ya nyumbani kutokana na tukio hilo unistue kaka,maana la simba kupigwa na chupa za maji hatukusikia lolote halafu hili tena wala hautasikia makanjanja ya kimoroko yakisema hiyo team inatumia dirty tricks
Kwa hiyo mnaona fahari kuiga huu upoyoyo au unamaanisha nini? Siku mkiadhibiwa tusisikie mnalialia!

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mnaona fahari kuiga huu upoyoyo au unamaanisha nini? Siku mkiadhibiwa tusisikie mnalialia!

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Wewe dogo wewee tulia ..HUJUI KWAMBA SIMBA NDIYO TEAM PEKEE AFRIKA INAYOTUMIA MBINU CHAFU? HAIJUI MPIRA INASHINDA KWA FITNA WEWE LEO UNASEMA INAIGA? jiheshimu wewe simba ndo mwalimu wa mbinu chafu kama unabvisha nenda kaulize makanjanja ya EFM yatakupa evidence
 
Back
Top Bottom