njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kama ukisikia kuna kanjanja lolote huko Morocco litafanyiwa interview kwenye Tv za Egypt kulalamikia team yao ya nyumbani kutokana na tukio hilo unistue kaka,maana la simba kupigwa na chupa za maji hatukusikia lolote halafu hili tena wala hautasikia makanjanja ya kimoroko yakisema hiyo team inatumia dirty tricksTena Almasry akiwa anaupungufu wa wachezaji wawili waliopigwa red card
Rs Berkane lazima achachawe
Kwa hiyo mnaona fahari kuiga huu upoyoyo au unamaanisha nini? Siku mkiadhibiwa tusisikie mnalialia!Kama ukisikia kuna kanjanja lolote huko Morocco litafanyiwa interview kwenye Tv za Egypt kulalamikia team yao ya nyumbani kutokana na tukio hilo unistue kaka,maana la simba kupigwa na chupa za maji hatukusikia lolote halafu hili tena wala hautasikia makanjanja ya kimoroko yakisema hiyo team inatumia dirty tricks
kuna watu walienda nigeria wakavalia nguo uwanjani huku msukule ukipiga kelele WAR IZ ZEA WAR IZ ZEAKwa hiyo mnaona fahari kuiga huu upoyoyo au unamaanisha nini? Siku mkiadhibiwa tusisikie mnalialia!
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mkuu hii nchi ina wajinga wengi sana. Ukiangalia hoja zao mpaka unachoka.Kwa hiyo mnaona fahari kuiga huu upoyoyo au unamaanisha nini? Siku mkiadhibiwa tusisikie mnalialia!
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna watu walienda nigeria wakavalia nguo uwanjani huku msukule ukipiga kelele WAR IZ ZEA WAR IZ ZEA
Wewe dogo wewee tulia ..HUJUI KWAMBA SIMBA NDIYO TEAM PEKEE AFRIKA INAYOTUMIA MBINU CHAFU? HAIJUI MPIRA INASHINDA KWA FITNA WEWE LEO UNASEMA INAIGA? jiheshimu wewe simba ndo mwalimu wa mbinu chafu kama unabvisha nenda kaulize makanjanja ya EFM yatakupa evidenceKwa hiyo mnaona fahari kuiga huu upoyoyo au unamaanisha nini? Siku mkiadhibiwa tusisikie mnalialia!
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app