DMmasi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 561
- 900
Katika harakati za kujitafuta nilifanikiwa kukutana na huyu jamaa na sasa tunaishi kama ndugu. Ndio kwanyakati tunakutana wote tulikuwa tunapitia hali flani ambazo nisehemu ya mapito kwenye maisha yetu.
Mwisho nilikuwa chini yake kama (nyokaa) wakati naendelea kutafuta tobo kuna kazi nilikuwa na zimudu kwenye ofisi yake kwaiyo nikitoa mguu gheto hatua zinaishia ofisini kwakwe.
Mimi ni muumini wa kazi nzuri hasa katika hii dunia ambayo teknolojia inakuwa kwa kasi ubunifu ni muhimu. Basi bhana jamaa anaweza kucheza na chuma siyo haba. Kazi yake ni safi na anaamini sana kwenye umaliziaji ulio bora(kabla sijapata mchongo niliqmua kusimama uku coz nilishika stick macho yakakataa kuzoeya😃)
Location yake ni Dodoma mtaa wa swaswa pia amewahi fanya sana kazi Arusha
Nimeweka sehemu tuu ya kazi zake ujionee mdau
kujionea zaidi unaweza mcheki Instagram kama #bensonwelding
pia ukitaka nikuunganishe nae mfanye kazi karibu PM
A LUTA CONTINUA