momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Hadi ya yanga tulishainunua kitambo.Zilishsanunuliwa zamani hizi mechi.
Sent from Nokia 7 Plus
Hata nyie tuliwanunua tukawapiga kimoja cha mkweziWeshanunua mechi zote hizo hapo na kitakachochezwa na magumashi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba inakikosi KIPANA wala hamna shida,watacheza tu.17/4 Coastal Union vs Simba SC
20/4 Kagera Sugar vs Simba SC
23/4 Alliance vs Simba SC
26/4 KMC vs Simba SC
28/4 Biashara UTD vs Simba SC
1/5 Prison vs Simba SC
3/5 Mbeya City vs Simba SC
Sasa ile kauli mbiu ya DO OR DIE iendelee hapa.
Zilishsanunuliwa zamani hizi mechi.
Sent from Nokia 7 Plus
Ewaaaàa. Waje tuone 😎😎Njooni tuone sasa Mikia tuone upana wa kikosi chenu
Mtani kila nikikuona nakumbuka wale wafuasi wako ambao uliwaambia washone suti. 😅Labda mkajisomee zile mechi tulizopiga mfululizo kabla ya robo,hatuna shida na tumechi kama hutu. Tunasubiri kumpasulia yai Yanga Kagame Cup
Kwa hiyo Simba yuko ugenini games zote hizo?17/4 Coastal Union vs Simba SC
20/4 Kagera Sugar vs Simba SC
23/4 Alliance vs Simba SC
26/4 KMC vs Simba SC
28/4 Biashara UTD vs Simba SC
1/5 Prison vs Simba SC
3/5 Mbeya City vs Simba SC
Sasa ile kauli mbiu ya DO OR DIE iendelee hapa.
Wanataka wafaidi wao tu hizo helaYanga shida yenu hata ninyi mnawauzia simba....sasa nani hataki pesa?
Siku 3 kuna kusafiri pia hapo, yaani hapo gepu siku 2 tuuMbona ratiba imekaa poa sana hiyo,tunachukua ubingwa mapema sana,mi nilijua tunacheza kila siku,kumbe tumepewa gepu la siku karibia 3,si ndio standard duniani kote ipo hivyo hiyo
Sasa hapo kwa akili zako timu gani yenye uwezo wa kumfunga simbaWeshanunua mechi zote hizo hapo na kitakachochezwa na magumashi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kila nikikuona nakumbuka wale wafuasi wako ambao uliwaambia washone suti.
Kuna mechi naona tuna gepu la siku mbili tu mfano tarehe moja na tarehe 3 may na ile ya tarehe 5 may pia kuna ya tarehe 26 na 28 April.