Kazi ipo hii ndio ratiba maalum ya viporo vya Simba FC

Nimalizie kujadiliana nawe kwa kukuelewesha
Anhaa kumbe uzi unazungumzia viporo vya simba ..Hayo magoli manne..or matano simba hawajawahi fungwa kwenye viporo vyake kwenye hii ligi...unaswali jingine??
Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.
 
Nimalizie kujadiliana nawe kwa kukuelewesha

Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.
Moro wo wenyewe wamekaa baada ya mechi,Mkwakwani kumenoga heheheheeeeeeeeeee!
 
Nimalizie kujadiliana nawe kwa kukuelewesha

Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.
Ungeanzisha uzi wake...FULL TIME...Makwasukwasu fc 0 - Mtigwa 1
 
Hiyo ya tarehe moja its ahirishwa tu, ngoja tuone
 
Back
Top Bottom