mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Nimalizie kujadiliana nawe kwa kukuelewesha
Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.Anhaa kumbe uzi unazungumzia viporo vya simba ..Hayo magoli manne..or matano simba hawajawahi fungwa kwenye viporo vyake kwenye hii ligi...unaswali jingine??