kazi ipo tcu mwaka huu!!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.
 
How do you know these?
 
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.

source of info plz
 
kwani ukiaply lazima upate?fany akazi yako y adata entry sio kutoa tathmini za kipuuzi...kuna choices hadi ya kozi 12...em toka apa
 
Kazi mnayo vijana, tupe info za coz 7 zilizo baki
 
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.

mkuu hizo info unazijuaje....??
 
ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naenda UDSM 1sy choice yangu tulio eligible ni 43 na intaka watu 50 ha ha ha ha ha thank u God
 
pia unaweza kuwa eligible na ukaiweka ikawa first choice yako lakini ukazidiwapoints na mtu aliyekuwa ameiweka ya nane kwa sababu anasifa za juu zaidi kuliko wewe. Chukulia mfani mwenye one ya tano na mwenye two ya kumi na mbili. hata kama wa two ya kumi na mbili ameweka choice yake ya kwanza akishindanishwa na wa wani ya tano ambaye kozi hiyohiyo aliiweka ya nane, mwenye kufikiriwa zaidi ni wa wani ya tano
 
Ukisoma vizuri maelekezo yao wale waliofaulu vizuri watapewa 1st choice zao so mtu mwenye 1.5 atapewa course yake ya kwanza na sio ya 8
 
Ukisoma vizuri maelekezo yao wale waliofaulu vizuri watapewa 1st choice zao so mtu mwenye 1.5 atapewa course yake ya kwanza na sio ya 8
anaweza akawa amefaulu vizuri lakini kwenye ushindani wa waliofaulu vizuri akashindwa pamoja na kwamba yeye aliweka first choice yake kama wengine walivyofanya. mfano kama cut off point ya LLM UDSM itakuwa ni 1.5 na wewe una 1.6 then hiyo kozi umeikosa na wana kupeleka kushindanishwa kwenye choice zako zilizobaki. Labda 2nd choice yako ni LLM UDOM na mtu mwingine alijaza LLM UDOM kama first choice yake wakati ana 1.9, wewe mwenye 1.6 utapewa kipaumbele zaidi pamoja na kwamba haikuwa first choice yako kuliko huyo mwenye 1.9 pamoja na kwamba yeye ilikuwa first choice yake
 
Actuarial science vp wakuu details zake ??? #UD021
 
Geofrey mbona mimi nimeshindwa kufanya hivyo,au haiwezekani kwenye simu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…