Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.
kwani ukiaply lazima upate?fany akazi yako y adata entry sio kutoa tathmini za kipuuzi...kuna choices hadi ya kozi 12...em toka apa
mkuu hizo info unazijuaje....??
How do you know these?
ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naenda UDSM 1sy choice yangu tulio eligible ni 43 na intaka watu 50 ha ha ha ha ha thank u God
Ukisoma vizuri maelekezo yao wale waliofaulu vizuri watapewa 1st choice zao so mtu mwenye 1.5 atapewa course yake ya kwanza na sio ya 8pia unaweza kuwa eligible na ukaiweka ikawa first choice yako lakini ukazidiwapoints na mtu aliyekuwa ameiweka ya nane kwa sababu anasifa za juu zaidi kuliko wewe. Chukulia mfani mwenye one ya tano na mwenye two ya kumi na mbili. hata kama wa two ya kumi na mbili ameweka choice yake ya kwanza akishindanishwa na wa wani ya tano ambaye kozi hiyohiyo aliiweka ya nane, mwenye kufikiriwa zaidi ni wa wani ya tano
Kuweka kozi 1st Choice sio maana yake ndo utapewa hiyo. Lolote laweza kutokea!
hongera kijana ila usitangaze ushindi mapema,endelea kumuomba mungu
anaweza akawa amefaulu vizuri lakini kwenye ushindani wa waliofaulu vizuri akashindwa pamoja na kwamba yeye aliweka first choice yake kama wengine walivyofanya. mfano kama cut off point ya LLM UDSM itakuwa ni 1.5 na wewe una 1.6 then hiyo kozi umeikosa na wana kupeleka kushindanishwa kwenye choice zako zilizobaki. Labda 2nd choice yako ni LLM UDOM na mtu mwingine alijaza LLM UDOM kama first choice yake wakati ana 1.9, wewe mwenye 1.6 utapewa kipaumbele zaidi pamoja na kwamba haikuwa first choice yako kuliko huyo mwenye 1.9 pamoja na kwamba yeye ilikuwa first choice yakeUkisoma vizuri maelekezo yao wale waliofaulu vizuri watapewa 1st choice zao so mtu mwenye 1.5 atapewa course yake ya kwanza na sio ya 8