Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
kwanza cfanyagi mapenzi na siasa...
pili cmpendi huyo daktari hapo juu...
vikiondoka ivo viwili ntachangia..
Hivi huyo JK alipewa udaktari wa mapenzi au ukilaza. Msaada tafadhali
siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure.
Ama kweli! umenikumbusha mwl mmoja form one "there are many many apparatus in the laboratory, one of is bansen bana!!!...siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure.