American lady Member Joined Jan 9, 2010 Posts 71 Reaction score 2 Jan 14, 2010 #3 kazi ya mungu hiyo wapenzi.
Soulbrother JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 405 Reaction score 17 Jan 14, 2010 #4 Nabaki bongo, vitu vya hapa ni vya kiasili, natural na havina vichochezi aina yoyote. Kuku wa kienyeji for life 🙂
Nabaki bongo, vitu vya hapa ni vya kiasili, natural na havina vichochezi aina yoyote. Kuku wa kienyeji for life 🙂
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jan 14, 2010 #5 mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??
mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??
Soulbrother JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 405 Reaction score 17 Jan 14, 2010 #6 FirstLady1 said: mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia?? Click to expand... malezi mabovu... hawa watoto hawapati muda wa kuspend na wazazi na muda mwingi wanaangalia tv, wanapitia site ajabu online.... Matokeo... i think am a girl.... baade ukitaka kuwa dume inakuwaje? Bongo wazo letu moja tu... i think am gonna be super duper rich...
FirstLady1 said: mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia?? Click to expand... malezi mabovu... hawa watoto hawapati muda wa kuspend na wazazi na muda mwingi wanaangalia tv, wanapitia site ajabu online.... Matokeo... i think am a girl.... baade ukitaka kuwa dume inakuwaje? Bongo wazo letu moja tu... i think am gonna be super duper rich...
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jan 14, 2010 #7 American lady said: kazi ya mungu hiyo wapenzi. Click to expand... American lady hii ni kazi ya mungu kweli?
American lady said: kazi ya mungu hiyo wapenzi. Click to expand... American lady hii ni kazi ya mungu kweli?