WanaJF naomba msaada wa kuunganishwa na yeyote,popote penye kibarua chochote cha kujishughulisha nacho hapa DAR.Kiwango cha elimu yangu ni kidato cha sita,pia nina ujuzi wa kompyuta katika MS-Word,Excel,Access,Internet & E-MAIL.
Nitashukuru sana kwa msaada wenu.