Kazi jamani.

Kazi jamani.

Bendera ya Bati

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
279
Reaction score
369
WanaJF naomba msaada wa kuunganishwa na yeyote,popote penye kibarua chochote cha kujishughulisha nacho hapa DAR.Kiwango cha elimu yangu ni kidato cha sita,pia nina ujuzi wa kompyuta katika MS-Word,Excel,Access,Internet & E-MAIL.
Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
 
Ni vyema ukaweka kiwango ili watu wakuunganisha na kazi zinazoendana na mshahara unaoutaka
 
Hi angalia posti ya Serio yenye kichwa cha habari "temporary job"

Back
Top Bottom