BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Wakuu!
Nina rafiki yangu amemaliza IFM mwaka jana na alisoma Advanced Diploma in Accountancy. Tusaidiane
Asanteni!!!
Habari za kuadimika mama.
Naona mzee anasema mlikuwa vekesheni wote sijui kweli?
Haya mwambie huyo rafiki yako ajiunge hapa JF atapata tu kazi kazi zipo nyingi tu mwambie tu ajiunge hapa.
Nzuri tu mkuu, vekesheni imeisha tunaendeleza shifti kama kawaida.
Huyu rafiki yangu hayupo JF ila karibia kazi nyingi nionazo kupitia hapa za uhasibu namtumia na ni mvumilivu maana anaomba kweli bila mafanikio. Kweli anahitaji kazi!..
Akina Fidel180 wasianze kuuliza kama huyo mtafuta kazi ni mwanaume au mwanamke, maana ndo zao hawa!
Jamani, anybody with news of vacancy, plz help that guy!
Wakuu kama sikosei ilikuwa jana nilipoomba kuwa kwa wale Ma HR watwambie nini wanachotaka kwenye hizo barua za kuomba kazi kweli hii imekuwa kero unajipinda unatuma barua halafu hata jibu hupati au ndo zile tabia za masecretary kuchana barua za watu ili za ndugu zao ndo ziende kuwa shortlisted.
Kweli inakera sana tena sanaaaaaaa
nafasi za ya kazi
anahitajika haraka msichana mwenye stashahada ya business administration na uzoefu wa masuala ya accounts usiopungua mwaka mmoja. Anapendekezwa awe msichana umri kati ya miaka 20 - 30. Awe anajua kutumia computer na hususan programu ya excel..
Kwa maelezo zaidi piga simu 0713 839363, 0784 888982
global publishers ltd
dar es salaam
tanzania
Hivi ni wa kike au wa kiume maana kazi siku hizi zinatolewa kijinsia namaanisha ladies first kama ni dume ataendelea kusubili.
Mkuu JosM
Asante sana, nimemtumia via email aombe na hii kazi!
Mwambie awe makini Shigongo mwanaume wa shoka.
Akili yake yote inawaza kupata kazi ili asapoti familia yao. I wish ungejua hali aliyonayo kimaisha..ana nia na kazi tu mengine siwezi kumsemea ila kazi kwasasa ndiyo muhimu kwake!..
Wanabadilikaka hao.jana nilicheka kuwa Adam Mchomvu siku hizi kaisusa hata familia yake baada ya maisha kumnyokea.Kwa hiyo na huyo usitupe 100% kuwa kwa sasa yupo commited na kazi.kwanza yatakuwa maamuzi yake sisi hayatuhusu kikubwa apate kazi kama itakuwa ya kwenda maisha club au kusaidia familia yake that is.
Mkuu Fidel achana na mawazo ya kizamani.Siku hizi hakuna mtu ambae anaweza akapata kazi kwa sababu ya kutoa rushwa ya ngono.ikitokea hivyo nimtu kapenda mwenyewe.Sasa huo ushoka wa Shingongo ndio utamsaidia kitu gani? mtu anahitaji kazi nyie mnaanza kumpa vitisho vya ajabu ajabu.Mwambie awe makini Shigongo mwanaume wa shoka.
Akili yake yote inawaza kupata kazi ili asapoti familia yao. I wish ungejua hali aliyonayo kimaisha..ana nia na kazi tu mengine siwezi kumsemea ila kazi kwasasa ndiyo muhimu kwake!..
Kwa msoto huo alio kuwa nao na wasi wasi hata rushwa ya ngono anaweza toa wallah maana kasota sana benchi. Duh kuhusu familia wengi mambo yakinyooka iwa wanakata hata mguu.
Kwa msoto huo alio kuwa nao na wasi wasi hata rushwa ya ngono anaweza toa wallah maana kasota sana benchi. Duh kuhusu familia wengi mambo yakinyooka iwa wanakata hata mguu.
Inawezekana na credit crunch pia imehit soko letu lakini hatuna takwimu ndio maana watu kukosa kazi siku hizi imekuwa kitu cha kawaida. Lakini pia bongo undugunisation saana yaani ni kero ishu si utendaji!!!Inategemea na msimamo wa mtu mkuu,sio kila mtu akipata msoto kidogo tu anajiachia.kuna wanawake ngangari mkuu usipime kabisa.